Maisha ni kupanga; na kupanga ni kuchagua. UJANA MAJI YA MOTO; Ukija shtuka yeshapoa siku nyingi.
Ngoja wahusika waendelee kukujibu. Mimi nilishapanga na kuchagua.
Kuna namba 9 hapo inakuhusu japo mtoa maada kaipotosha. Malezi yako yapoje kwa wanao especially kama una wakike na wakiume?
Mimi ni old fashioned lady. Nina watoto wa kiume tu ambao nitawalea kwenye msingi kuwa ndoa ni moja ya sacrament muhimu. Ningependa either waoe au wawe mapadre si kuzaa hovyo hovyo.
mnh kama ndoa tu ndio source ya kuwa na furaha,mbona malalamishi hayaishi kila siku?au huyaonagi humu Ruta???you can be happy single au married,sio wenye ndoa tu ndio wana furaha.acha kuwa one sided!
Mimi ni old fashioned lady. Nina watoto wa kiume tu ambao nitawalea kwenye msingi kuwa ndoa ni moja ya sacrament muhimu. Ningependa either waoe au wawe mapadre si kuzaa hovyo hovyo.
Kuna namba 9 hapo inakuhusu japo mtoa maada kaipotosha. Malezi yako yapoje kwa wanao especially kama una wakike na wakiume?
kaipotosha vipi ukweli kila wakati unauma..........................lol
Unapimaje hizo "endless frustrations"????yaani kama hili lingekuwa ni kweli basi tungelikuwa kama usemavyo..........................peace of God demands you are married period...........lone ranger is a recipe for endless frustrations.............
fighting against mfumo dume haijalishi whether the said person is single or married! Btw, ukweli upi sasa hapo unaouma??
Unapimaje hizo "endless frustrations"????
Kwenye ndoa hamna? Maana nnavyojua wengine wameoa/olewa ila hizo frustration zimewanyonya mpaka zimegeuka depression.
pitia wasifu wa mdada tajwa halafu jiulize kama hawapo hapa duniani..........
Kuolewa ni option na wala sio lazima. Acheni kuzingua wenzenu kila mtu anachagua njia inayomfaa yeye na si ile waifuatayo wengi!!! Eti hawana furaha, hana huyo unaemfahamu wewe! Kwa uchanganuzi wako unadhani walioolewa ndo wana furaha kuliko wanawake wote? You must be joking dude!!!
Hizi sababu zako ni za juu juu sana..
Umewahi kufikiria ya kwamba kuna wengine
wali nyanyaswa (abused) wakiwa wadogo na hata
ukubwani mfano
Physical, mental, Emotional, & Sexual .. mfano wa
watu awaliobakwa..
Naomba ufikirie chambua kabla ya kupayuka..asante
Sio unaconclude kirahisi rahisi ivo, umesoma comment ya afrodenzi?? Unalizungumziaje hilo au we umeangalia matokeo tu na hiyo step waliopo kwa sasa?? Then, pitia tena comment yangu alafu uone kama haiko applicable!
la msingi ni kuwa furaha ya bibi ni kuwa na bwana awe ndani ya ndoa au hata "come and stay" bado dume linahitajika kwa bibi ajisikie kuwa naye kaaumbika kivikweli..........
Wanchekesha Ruta, asante kwa kudhihirisha kwamba ulichokiandika hata wewe mwenyewe hukijui vizuri zaidi ya kusukumwa na imani tu ndo maana naungana na afrodenzi umechukulia mambo juu juu!!! Talking of 'come and stay' mpaka hapa umeshapingana na hiyo point yako namba 4!! Then if furaha ya bibi ni kuwa na bwana, irimradi kidume kihusike kwenye maisha ya mdada......as far as these ideas of yours are conserned, then it will be better kama ukiidelete hata hiyo point namba 3 for it is immaterial!!

Heheheheh. . .
Bwoi, am I glad to have you here.
Napendaga kweli watu wanapotetea wanachosema kwa kurudi na kukubali waliyopinga mwanzo. . .