Fungu la kumi

10% ya kipato chako na usidanganye kile chote unachopata kama unafanya kazi ni mshahara wako marupurupu posho zile tip sjui mtu kkushikisha 10k basi unajumlisha zote unatoa asilimia kumi unapeleka kanisani sasa hapo kwenye dungu la kumi hiyo sadaka inamitego sana maana kwa sisi wabongo kuhesabu kila kilichoingia ni uongo sio zote tunahesabu. Alafu cha ajabu makanisa hawanabutaratibu wa kutoa kwa wenye uhitaji wao wanajali maokoto tu na zaka zao zitimie
 
maelezo mazuri .. Ila unaweza kutoa fungu la kumi na nyingine peleka kwa watu wenye special need
 
Anza na mabadiliko ya jina, jina ni nafsi unavyoliishi ndivyo tabia zako hukuaa, fungu la kumi hata kama ukipata je utatoa? Lakini fanya hivi chochote unachokipata kila mwisho wa mwezi kikate 10% halafu peleka kanisani
Nimekuelewa ila sasa pesa zetu Huwa ni zamafungu mafungu hapo sasa ndiye mtihani
 
10% ya kipato chako na usidanganye kile chote unachopata kama unafanya kazi ni mshahara wako marupurupu posho zile tip sjui mtu kkushikisha 10k basi unajumlisha zote unatoa asilimia kumi unapeleka kanisani sasa hapo kwenye dungu la kumi hiyo sadaka inamitego sana maana kwa sisi wabongo kuhesabu kila kilichoingia ni uongo sio zote tunahesabu. Alafu cha ajabu makanisa hawanabutaratibu wa kutoa kwa wenye uhitaji wao wanajali maokoto tu na zaka zao zitimie
Halo ndiye kosa wanalo fanya viongozi wetu WA dini
 
Bora hiyo hela ya fungu la kumi na sadaka zingine utoe kwa wahitaji maana pal ndipo sadaka yakobinapata maombi na shukrani za dhati sio kutoa kanisani wachungaji wanaona ni haki yao ww kuwaletea sadaka na michango mbali mbali
Kiongozi WA dini nae anaitajika atoe fungu la kumi?
 
Kiongozi WA dini nae anaitajika atoe fungu la kumi?
Ndio si anaingiza kipato ila sidhani kama wanatoa kweli maana hata wakitoka kundini hawarusdishwi kwa aibu kama wanavyofanya kwa waumini utengewe alafu ukirudishwa uitwe mbele peke yako yaani mambo ya aibu ila wao wanazaa hadi na wake za watu ila hawarudishwi kundini sasa sjui hizo dhambi wanatubu wapi
 
Kama unataka mibaraka na ubarikiwe na Mwenyenzi Mung_ usipeleke pesa yako ikaenda kuliwa na watu ambao sio hasisi (makanisani)
Kumbukumbu la Torati 26:12 Utakapokwisha kutoa zaka, katika zaka zote za maongeo yako mwaka wa tatu, ambao ndio mwaka wa kutolea zaka, umpe zile zaka Mlawi, na mgeni, na yatima, na mjane, wapate kula ndani ya malango yako na kushiba; When thou hast made an end of tithing all the tithes of thine increase the third year, which is the year of tithing, and hast given it unto the Levite, the stranger, the fatherless, and the widow, that they may eat within thy gates, and be filled;
 
kwani hilofungu lakumi kanisani linatumikaje mkuu
Swali zuli sana hili

Jibu: linatymika kujengea kanisa, nyumba za masista na nyumba za mapadrii, nyumba za maaskofu, nyumba za mashemasi

Niongeze?

Nb: Ninaposema 'nyumba za' namaanisha hadi nyumbani kwao walipowahi kuishi, kulelewa na kukua km wana nyumba kuu kuu inachomoloewa fungu inaenda kufanya ukarabati wa nyumba yao alipotoka
 
Anza na mabadiliko ya jina, jina ni nafsi unavyoliishi ndivyo tabia zako hukuaa, fungu la kumi hata kama ukipata je utatoa? Lakini fanya hivi chochote unachokipata kila mwisho wa mwezi kikate 10% halafu peleka kanisani
Yaani asiwape masikini 'na yatima,apeleke kanisani zikawatajirishe matapeli
 
Naomba kujua hii fungu la kumi
Yani nalipataje fungu la kumi?
ziada au asilimia 10 katika pato lako kwa mfano mwezi au mwaka, wakirimie wahitaji na wenye shida mbalimbali, hususani kupitia utaratibu wa kanisa, msikiti au kadiri Mungu atakavyokuongoza na Utabarikiwa sana...
 
Back
Top Bottom