Mnaonaje fungu la kumi wangepewa wakunga na wauguzi kuliko kupelekea pastor

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
634
1,535
Hi? Mnaonaje fungu la kumi au sadaka wangepewa wauguzi wa afya na vyuo vyote vinavyotoa mafunzo hayo sababu wanachokifanya katikati maisha ya mwanadamu kinaonekana sababu unaweza zidiwa na magonjwa ukapelekwa hospital na ukatengamaa kama siku zako za kufa hazijafika bado kuliko kuwapa hawa mapastor wetu sababu sioni kazi wanayofanya mpaka tukaenda kuwalundikia mamilioni ya shilingi humo makanisani mwao mimi sio wale wasio amini kua kuna Mungu hapana Mungu yupo
 
Manesi wanalugha chafu sana wale wacha fungu la kumi liliwe na kanisa tuuu mxiiiiuuu.
 
Kuna watu watakuja kusema wewe nesi so unajipigia debe la maokoto. Uwapuuze
 
Back
Top Bottom