Fundi wa wiring Dar

Magari damu

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
430
751
Habari ndugu zangu
Nina rafiki yangu ni fundi wa kufanya wiring za majumbani na ofisini yuko Dar kwa sasa. Kuna mteja wake alimleta huku alimfanyie wiring kwenye nyumba yake baada ya kuona kazi yake aliyoifanya Musoma imemvutia sana.

Kazi ya kufanya wiring anaifanya kwa viwango vya juu na kisasa zaidi, na utafurahia huduma.

Kwa yeyote ambae atakua na uhitaji wa fundi mtaalam wa kufanya wiring, tafadhali tuwasiliane, then nitakuconnect nae.

Napatikana kwa namba 0784051182
 
Ni rafiki yako au ni wewe mwenyewe, kuwa muwazi fundi maiko wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom