Fundi wa Computer ( Hardware & Software)

Baraka Rabson

Member
Sep 9, 2014
64
16
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk.
 
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..kwa mawasiliano piga Simu No.0676040772
nina laptop lenovo thinkpad x220 kwenye keyboard key "N" imebanduka unaweza ukanitafutia hiyo "N" na ukaniwekea? Inanikera sana hasa ukizingatia "N" inatumika sana..
 
Pc yangu kioo kimezima ghafla ila ukiwasha unasikia kabisa feni inazunguka Nini tatizo
 
Mkuu nna Toshiba satellite C850 - F0202 ilianguka na wino umevuja kwenye kioo. Je inawezekana kutatulika tatzo hili? Na vipi gharama yake?
 
Kaka mimi na shida naomba msaada wako laptop yangu imeandika inter current password aina ya ni dell inspiron 15 3521 msaada mkuu
 
Mimi nina dell 620,now siwezi ku click kwa kutumia keypad za kwenye laptop,mpaka nitumie mouse,bila mouse inagoma zaidi naishia kumove ile cursor from one place to another,ila niki left click au niki right click no response,huenda tatizo ni nini hapo mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom