Fundi mzuri wa kushona suits iringa

MKOBA2011

Senior Member
Jul 12, 2011
142
27
Kwa wale wanaohitaji kushona suits za aina mbalimbali kike na kiume kwa ajili ya arusi na shughuli zingine, mkoani iringa kuna fundi wa ukweli anaitwa komba yupo karibu na kalenga hotel.anapatikana kwa number hizi 0753-231135 au 0778-328500.utaamini navyokwambia ukishona kwake nipo dar but ninapotaka kushona huwa natuma vipimo na design ya suit na pesa na anatoa vitu vya ukweli.nimeshona sehemu nyingi hapa dar lakini kwake hawajamfikia.kazi njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom