Fundi inverter (converter) ya 'solar'

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,045
5,093
Waungwana inverter yangu imeharibika na feni yake tu ndiyo inazunguka! Hivi kuna mafundi wa hii kitu na wako wapi kwa Dar Es Salaam?

Napata taabu as solar power ni back up ya umeme wa kifisadi wa Tanesco!

Kuna ushauri mwingine au ninunue tu?

Amani iwe nanyi
 
Back
Top Bottom