Fundi (engineer ) wa inverter

Akthoo

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
998
1,016
WanaJF

Je kuna yeyote anayemjua Fundi Bingwa wa Inverters ?
Msaada unahitajika tafadhali.
 
Rekebisha title mkuu! Nimejisikia kudhalilishwa, anyway! watafute mafundi mchundo nasiyo Engineer kabisa. Labda, nianze na swali, Unamtakia nini fundi wa AC/AC or DC/AC Inverter?
 
Inverter ya nini? Solar panel au AC au CCTV camera...the list goes on. But kuna watu wazuri wa mambo ya umeme kama wakijua exactly nini unachokihitaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom