Fumanizi live

Tee Bag

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
7,200
5,553
Hapa atakae pigwa ni nani? Mume sababu amechepuka au mke sababu ni mwizi?
 

Attachments

  • 1412027389860.jpg
    1412027389860.jpg
    18.2 KB · Views: 1,132
Mi nafikiri atakayepigwa ni yue atakayefikiwa na hiyo silaha iliyoshikwa na huyo mwanamke...

Vinginevyo atakayemuwahi mwenzie ndio atakayemuwasha vile vile!
 
Ha ha ha huyo anaigiza, ingekuwa kweli tungeona tayari damu ikibubujika kutoka katka eneo la medulaoblangata ya mchizi!
 
Wakike huwa wanapiga wanawake mwenzao kwenye fumanizi kwa hiyo hapo bi shost linamhusu hilo stonga.
 
Back
Top Bottom