Tutarudisha kila kinachopaswa kurudishwa pindi tutakaposhika dollar
Hivi yule mke wa Sugu aliemtelekeza bi. Faiza yuko wapi?
Kiswahili kigumu ndugu, " bi Faiza alimtelekeza mke wa Sugu?"
Mungu anajua wanachostahiki Andrew Chenge na maCCM wenzake hapa duniani, Na sisi wananchi ni wajibu wetu kubadilisha uelekeo wa nchi yetu ( Mama Tanganyika).
Inafikia hatua CCM wanaamua kufuta usajili wa dini, nashangaa inawezekanaje kukawa hata na huo usajili wa dini katika mamlaka hii dhalimu ya CCM.
Hiki kiburi wanakitoa wapi?
Watanzania tukishindwa kuwaondoa hawa kina Chenge, Ngeleja, Lowasa, Shaban Gurumo, Kinana, Nape tukiamini ni mpango wa Mungu sisi kuwa masikini. Tutakuwa tumewatendea kosa kubwa babu zetu, bibi zetu, baba zetu, mama zetu, dada na kaka zetu, watoto wetu, wajukuu wetu.
Tusikubali hii nchi iendelee kuwa chni ya chama cha Lusinde, Makonda wenyewe mnajua hawana busara wanaharibu maadili kwa matusi yao na matendo yao dhalimu
Maskini ni wewe mwenyewe, unashinda kijiweni unafikiri Nape au Comrade Kinana atakuja kukufanyia kazi umeliwa!!! Hayo mabadiliko ya maisha utayasikia kwenye bomba!Asiyefanya kazi na asile!!
Siasa inaathiri maisha yetu ya kila siku, mimi kwa nafasi yangu mkulima na mfanyabiashara ndogo ndogo nimeathiriwa vikali na maamuzi ya serikali ya CCM. Ni mjinga tu pekee au asiyeshiriki shughuli za kujikwamua atakuwa hajaonja hadha za CCM. Wao hawakutelemshwa kama msaafu waje kutawala, muda wao umetosha tutawaweka wengine ili tuwapime jinsi wanavyotumia kodi zetu
Hivi yule mke wa Sugu aliemtelekeza bi. Faiza yuko wapi?
Unataka kuwa wenza au??
Hivi yule mke wa Sugu aliemtelekeza bi. Faiza yuko wapi?
CCM wamepata hati safi wao?Bado hamjanishawishi hata khhuwafikiria kushika madaraka ya kuongoza nchi,Ruzuku tu mnayopewa na CCM mnashindwa kuitumia vizuri, mmefisadi teh teh nimeona CAG kwenye ripoti yake ya Mei amewarukia na kama haitoshi amewapa hati ya mashaka hesabu zenu zina harufu mbayaView attachment 255356
Kwa hiyo amemtelekeza so what? Unataka kuziba nafasi ya bi Faiza?Sugu alimtelekeza mkewe!! Sema kingine jina la mkewe Faiza Ally!!!
CCM wamepata hati safi wao?
CCM wamepata hati safi wao?
Wewe mwehu mambo ya mke wangu yanakuhusu nini?
Sasa hivi nchi iko kwenye mchakato wa kuandikisha watanzania wenye sifa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Mchakato huo unaendelea katika mikoa mbalimbali.
Jambo la kushangaza ni kwamba ni vyama vya UPINZANI tu (UKAWA) ndivyo vinahamasisha watanzania wenye sifa wajitokeze kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
Si CCM wala NEC ambayo mpaka sasa imetoa elimu au kuhamasisha watanzania kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
Je ni kwanini CCM na NEC hawako interested kuona Watanzania wengi wanajiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura?
Kwanini ulimtelekeza mke wako mkuu... Kila siku nakuona Mbeya Carnival unafataga nini pale? au wale machangudoa?