Full equipped dispensary for sale in Dodoma!

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
1,049
1,581
Dispensary inauzwa 120M, ipo Michese Dodoma, eneo lina ukubwa wa 956 mita za Mraba, majengo mawili, Sehemu yakusubiria wagonjwa na jengo la RCH.


Hakuna Dalali
 

Attachments

  • IMG-20240515-WA0003.jpg
    IMG-20240515-WA0003.jpg
    43.1 KB · Views: 4
  • IMG-20240515-WA0009.jpg
    IMG-20240515-WA0009.jpg
    40.4 KB · Views: 4
  • IMG-20240515-WA0010.jpg
    IMG-20240515-WA0010.jpg
    37 KB · Views: 5
  • IMG-20240515-WA0005.jpg
    IMG-20240515-WA0005.jpg
    36.8 KB · Views: 3
  • IMG-20240515-WA0012.jpg
    IMG-20240515-WA0012.jpg
    34.5 KB · Views: 5
  • IMG-20240515-WA0008.jpg
    IMG-20240515-WA0008.jpg
    38.6 KB · Views: 6
  • IMG-20240515-WA0011.jpg
    IMG-20240515-WA0011.jpg
    51.3 KB · Views: 7
  • IMG-20240515-WA0006.jpg
    IMG-20240515-WA0006.jpg
    51.2 KB · Views: 4
  • IMG-20240515-WA0013.jpg
    IMG-20240515-WA0013.jpg
    36.9 KB · Views: 6
  • IMG-20240515-WA0007.jpg
    IMG-20240515-WA0007.jpg
    39.6 KB · Views: 4
  • IMG-20240515-WA0014.jpg
    IMG-20240515-WA0014.jpg
    38.1 KB · Views: 4
  • IMG-20240515-WA0004.jpg
    IMG-20240515-WA0004.jpg
    43.7 KB · Views: 6
Bado hujatoa details za kutosha mkuu.
Unauza majengo tu ya hospitali au pamoja na vifaa tiba?na kama unauza na vifaa tiba orodha yake ni ipi?
Na vipi kuhusu wafanyakazi wapo wanaendelea kuendesha hospitali au ilisimamishwa?
Na kama imesimama kutoa huduma ni nini ilikuwa sababu?
Hayo ni maelezo ambayo yalitakiwa yawepo kwenye tangazo lako ili mtu ashawishike kumbuka hapo unauza kitu cha mamilioni huwezi ukaandika kijuujuu kama unauza baiskeli au kuku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom