Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

One two! Hallo! Hallo! Tunajaribu

Teh teh teh mbaya zaidi watu hawajazoea kupokea changamoto wamezoea ndio mzee.

Hakuna atakayefumbia macho ukiukwaji wa katiba yetu, kampeni bado kila mmoja atii sheria bila shuruti - tutawalazimisha kunyamanza - only JPM 2020
 
WanaJf, Salaam!

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.

Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.

Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.

Nawakia siku njema.

MK 2019
Jinyonge mkuu,mbona ccm walianza kampeni 2016 kwa kuzuia vyama vya upinzani visifanye mikutano ila wao wanazunguka kila kijiji hukuchukia?
 
WanaJf, Salaam!

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.

Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.

Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.

Nawakia siku njema.

MK 2019
Mbona kuna watu mpaka sasa wanavaa zilizoandikwa CHAGUA MAGUFULI? Halafu wewe kwanini ukereke wakati hayo ni maoni na uchaguzi wake binafsi? Yeye kaandika NITAMCHAGUA MEMBE kwa maana ya yeye hajasema CHAGUA MEMBE.
 
Nyuzi za kiwango hiki zipo nyingi sana nadhani ni kwa sababu ya kupata Elimu mbovu mbovu unakua na vyeti vingi kichwa hakiwezi kuchanganua mambo marahisi tuu...
 
WanaJf, Salaam!

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.

Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.

Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.

Nawakia siku njema.

MK 2019
acha uzwazwa wenu wa lumumba.. kwani amekwambia anachagua rais??? yeye amesema 2020 wake ni MEMBE sasa wewe unamjua huyo mchumba wake MEMBE? acheni kujitoa ufaham.. ulitaka aseme 2020JIWE? ndo ungesikia utamu.. shwaini kweli wewee
 
Sasa wewe shida yako ni nini mtu akivaa tshert nitamchagua MEMBE ? Wewe unawajua wakina Membe wote? Labda huyo membe ndo bwana wake?
 
WanaJf, Salaam!

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.

Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.

Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.

Nawakia siku njema.

MK 2019

ROSE MBOMA YUPO SAHIHI.

ATAMCHAGUA MEMBE 2020 .

anaweza kuwa anamaanisha jambo moja katika mambo yafuatayo.

1.Anamaanisha labda mshauri wake

2:Role Model wake

3:Mdhamini wake katika jambo flani.

4:Kuwa mgeni rasmi atakapotimiza.miaka 30 au 35 au 40 tangu azaliwe !

5:Au ameandika kitabu anataka Membe aje azindue kama mgeni rasmi.

ALL IN ALL 2020 POMBE LAZIMA IMWAGWE.
POMBE SIO CHAI
 
Hakuna atakayefumbia macho ukiukwaji wa katiba yetu, kampeni bado kila mmoja atii sheria bila shuruti - tutawalazimisha kunyamanza - only JPM 2020
HAMNA KAMPENI HAPO AKILI YAKO IMEKUTUMA KUTAFSRI MAANA ISIYO SAHIHI KUHUSU UJUMBE WA T-SHIRT
 
Mbona kuna watu mpaka sasa wanavaa zilizoandikwa CHAGUA MAGUFULI? Halafu wewe kwanini ukereke wakati hayo ni maoni na uchaguzi wake binafsi? Yeye kaandika NITAMCHAGUA MEMBE kwa maana ya yeye hajasema CHAGUA MEMBE.

HIYO NI HOFU YA JABALI MEMBE AMBAYE HAJAWAHI KUTAMKA KUWA ATAGOMBEA.

MWAGA POMBE 2020 ,POMBE SIO CHAI
 
WanaJf, Salaam!

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.

Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.

Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.

Nawakia siku njema.

MK 2019
 
WanaJf, Salaam!

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliweka tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kusimamia shughuli mbalimbali za uchaguzi nchini - Tume hii huru ya Uchaguzi ndiyo hutoa maagizo kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya kuanza michakato ya ndani ya kupata wagombea kisha kampeni za uchaguzi huanza.

Rose Mboma, ambaye alionekana na T-shirt iliyoandikwa Nitamchagua Membe 2020 amekiuka si tu taratibu za uchaguzi bali amevunja katiba yetu kwa kuingilia mamlaka za vyama vya siasa na tume huru ya uchaguzi kwa kutangaza wagombea ambao hawajapitia kwenye vyama vya siasa.

Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mmoja ajitahidi kuwa mtulivu na kuepuka kuvunja katiba, sheria za uchaguzi na kanuni za vyama vya siasa.

Nawakia siku njema.

MK 2019
kanywe tu juice ya pilipili mkuu!
 
Mbona kuna watu mpaka sasa wanavaa zilizoandikwa CHAGUA MAGUFULI? Halafu wewe kwanini ukereke wakati hayo ni maoni na uchaguzi wake binafsi? Yeye kaandika NITAMCHAGUA MEMBE kwa maana ya yeye hajasema CHAGUA MEMBE.

mma!!! Tupali khaje khaje!

2020 INATAKA KUWA TAMU KUPITA MAELEZO !

🍺🍺🍺🍺🍺 MWAGA SIO CHAI
 
ROSE MBOMA YUPO SAHIHI.

ATAMCHAGUA MEMBE 2020 .

anaweza kuwa anamaanisha jambo moja katika mambo yafuatayo.

1.Anamaanisha labda mshauri wake

2:Role Model wake

3:Mdhamini wake katika jambo flani.

4:Kuwa mgeni rasmi atakapotimiza.miaka 30 au 35 au 40 tangu azaliwe !

5:Au ameandika kitabu anataka Membe aje azindue kama mgeni rasmi.

ALL IN ALL 2020 POMBE LAZIMA IMWAGWE.
POMBE SIO CHAI

Unajizungusha tu - wewe mwenyewe sehemu ya 1 - 5 uliyoandika unafahamu kwamba si dhamira yako ila hapo ulipomalizia ndiyo hukumu yako kwa mvaa fulana - Sasa JPM hana mpinzani!
 
acha uzwazwa wenu wa lumumba.. kwani amekwambia anachagua rais??? yeye amesema 2020 wake ni MEMBE sasa wewe unamjua huyo mchumba wake MEMBE? acheni kujitoa ufaham.. ulitaka aseme 2020JIWE? ndo ungesikia utamu.. shwaini kweli wewee

Nadhani kwa uzwazwa wewe ni Na. 1, unashindwa kusoma hata kuelewa ishara za picha na matendo!

Rudi kwa wazazi wakufunulie!
 
Back
Top Bottom