Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,012
Abdulhalim,
Mbona basi jamaa haongei dhidi ya hizi cults ambazo zinapatia dini
yake sura mbaya? He is too quiet to be a president who's country is
on fire with these kinds of skirmishes. Somebody needs to tell him to wake
up unless he is enjoying the whole scenario.
Sidhani kama alikuwa kimya. Majuzi nilisoma mahali wakati vuguvugu limepamba moto alikuwa akisafari kwenda ughaibuni alisema hawa wenye-cult wakae mkao wa kula kwani anawaandalia 'package' na kweli matunda ya 'package' yameonekana ..hivo sio kweli kwamba yupo kimya. Jamaa ni mtu wa kutafakari na sio mtu wa blah blah..na yuko very straight.