Fujo la udini Nigeria

Abdulhalim,

Mbona basi jamaa haongei dhidi ya hizi cults ambazo zinapatia dini
yake sura mbaya? He is too quiet to be a president who's country is
on fire with these kinds of skirmishes. Somebody needs to tell him to wake
up unless he is enjoying the whole scenario.

Sidhani kama alikuwa kimya. Majuzi nilisoma mahali wakati vuguvugu limepamba moto alikuwa akisafari kwenda ughaibuni alisema hawa wenye-cult wakae mkao wa kula kwani anawaandalia 'package' na kweli matunda ya 'package' yameonekana ..hivo sio kweli kwamba yupo kimya. Jamaa ni mtu wa kutafakari na sio mtu wa blah blah..na yuko very straight.
 
Mkuu,

i was just asking for cross reference purposes. Hawa jamaa wa hizi cults
nadhani pia wanamatatizo ya kisaikolojia kisha wanasingizia dini.

Ab-Titchaz!

Thanks a lot for raising that question I think you wanted to relate it with Tanzania. If I have read correctly in between the lines. The Nigerian president is a Muslim but not a fanatic or crazy muslim extremist. He has just done his job as commander in Chief.

I wonder if the smiling muslim Tanzanian president and his friend from Zanzibar can move a yard in that direction of applying iron fist approach to fanatical muslims crying for the ''Mahakama ya Kadhi'' in Tanzania (tanganyika) something though un constitutional has found simpathy from the power hungry CCM and the Bunge.

Some few fools like Membe and Pinda condone this and even allow debate but for sure all Kadhis and Sharia things lead to the same end like the Boko Haram; Al -queda; Taliban ; Mujahideen etc!!!!

Watch out this cry is cheap but don't be taken for a ride and take them lightly make no mistake about that they all require to be crashed from the word go!!
 
Sidhani kama alikuwa kimya. Majuzi nilisoma mahali wakati vuguvugu limepamba moto alikuwa akisafari kwenda ughaibuni alisema hawa wenye-cult wakae mkao wa kula kwani anawaandalia 'package' na kweli matunda ya 'package' yameonekana ..hivo sio kweli kwamba yupo kimya. Jamaa ni mtu wa kutafakari na sio mtu wa blah blah..na yuko very straight.

Shukran kwa maelezo.
 
hivi ni vijimambo tu mambo yenyewe yanakuja tanzania 2012 kama tulivyotangaziwa
tusubiri..........
 
Kwa nini watu wanadai wanaonewa ktk imani yao na kusababisha mauaji ya kinyama namna hii? Ni haki gani wazitakazo? Wakipewa hizo si watahitaji na zingine hatimaye kutawala kila Imani? mwisho wao si mzuri..
 
Last edited by a moderator:
Hili ni fundisho kwa watanzania wote wala siyo waislamu tu. Tuendelea kuliombea taifa letu kama wenzetu wa RC wanavyoombea amani kila baada ya misa.
 
It is becoming a world trend now and many people think that killing a "sinner" will add value to their "future paradise life".

Je wabongo mnaondekeza mambo ya fitina ya dini mnaona hilo, kawaida hakuna anaefaidi. or mara wakristo wamefanya hili, oh mara waislam wamefanya hili. Asiyejua kufa achungulie (siyo aangalie) kaburi, mnaona hilo

Let be a warning to all of us.
 
Ab-Titchaz!

Thanks a lot for raising that question I think you wanted to relate it with Tanzania. If I have read correctly in between the lines. The Nigerian president is a Muslim but not a fanatic or crazy muslim extremist. He has just done his job as commander in Chief.

I wonder if the smiling muslim Tanzanian president and his friend from Zanzibar can move a yard in that direction of applying iron fist approach to fanatical muslims crying for the ''Mahakama ya Kadhi'' in Tanzania (tanganyika) something though un constitutional has found simpathy from the power hungry CCM and the Bunge.

Some few fools like Membe and Pinda condone this and even allow debate but for sure all Kadhis and Sharia things lead to the same end like the Boko Haram; Al -queda; Taliban ; Mujahideen etc!!!!

Watch out this cry is cheap but don't be taken for a ride and take them lightly make no mistake about that they all require to be crashed from the word go!!

Sema Mkereme,

I believe we were thinking on the same line when it came to this question.
The Nigerian President has no option but to try and stay above water
because he is representing the whole country. Kisha I think he feels let
down by these so called religious zealots....sijui Boko Haram....Jina lenyewe
linatisha.

P.S. Hio mahakama ya kadhi hapo Bongo mimi simo. Sometimes watu husema
"mtoto akililia wembe mpe"...je hao wabongo tuwape ama?

Regards.
 
naona jamaa alikamatwa mzima kabisa ila amri kutoka juu ikasema asipumue na kweli kilichofuata ni historia!mwanzo hata mimi nilikuwa natetea sana hawa jamaa hasa hapa nyumbani ila jamaa hawana urafiki na mtu linapokuja suala la fujo dawa ni hii hii tu!piga risasi mpaka wakae sawa!
 
Niaje AB,

Mbona tunayo mahakama ya Kadhi Kenya na imetulia tu, it usually deals with land, domestic, marriage squabbles and it doesn't in any way affect the Christian majority.
 
Niaje AB,

Mbona tunayo mahakama ya Kadhi Kenya na imetulia tu, it usually deals with land, domestic, marriage squabbles and it doesn't in any way affect the Christian majority.

Poa sana Smatta,

Word of Caution: Waisalmu wa Kenya na wa kibongo wanatofauti
kubwa sana. Meanwhile hizo Kadhi courts za Kenya are not as powerful
in terms of clout like the case in Nigeria. Mixing religion and politics can
really be deadly and thats why there is always the separation of powers
between church and state. I believe you know that.

Regards.
 
naona jamaa alikamatwa mzima kabisa ila amri kutoka juu ikasema asipumue na kweli kilichofuata ni historia!mwanzo hata mimi nilikuwa natetea sana hawa jamaa hasa hapa nyumbani ila jamaa hawana urafiki na mtu linapokuja suala la fujo dawa ni hii hii tu!piga risasi mpaka wakae sawa!

Mzee Mwafrika,

..wala hujakosea mawazo yako. Hata nashangaa kwa nini jeshi la polisi
wanajaribu kusema eti kauliwa ndai ya crossfire huku army ikisema
walimkamata jamaa na kum-handover kwa mwera. So the burden is with
the police but knowing this case and the way its going, ndo ishatoka
hio!
 
mbons kils nikipost comments zangu mnazifuta baada tu ya muda?
kuhusu maada hii nilipost ijumaa nikacheki mchana ilikuwepo.
kucheki baadae nikakuta haipo?leo nimecheki haipo ndipo nilipoamua kupost
similar comment asubuhi hii naangalia saizi siioni.
naona kuna jambo! au kwa kuwa niko kinyume na matakwa ya mwenye mtandao
hasa kuhusu mambo ya udini,maana najua yeye ni mwislamu au hicho ndicho
kigezo cha kung'oa ujumbe wangu.cha ajabu jumbe zingine zipo hata zile ambazo ni meaningless.KULIKONI?????????????
 
Word of Caution: Waisalmu wa Kenya na wa kibongo wanatofauti
kubwa sana. Meanwhile hizo Kadhi courts za Kenya are not as powerful
in terms of clout like the case in Nigeria. Mixing religion and politics can
really be deadly and thats why there is always the separation of powers
between church and state. I believe you know that.

Regards.

u are right budy!!
 
Last edited by a moderator:
mbons kils nikipost comments zangu mnazifuta baada tu ya muda?
kuhusu maada hii nilipost ijumaa nikacheki mchana ilikuwepo.
kucheki baadae nikakuta haipo?leo nimecheki haipo ndipo nilipoamua kupost
similar comment asubuhi hii naangalia saizi siioni.
naona kuna jambo! au kwa kuwa niko kinyume na matakwa ya mwenye mtandao
hasa kuhusu mambo ya udini,maana najua yeye ni mwislamu au hicho ndicho
kigezo cha kung'oa ujumbe wangu.cha ajabu jumbe zingine zipo hata zile ambazo ni meaningless.KULIKONI?????????????

Maybe your comments are rubbing someone the wrong way,.... Inafaa tutengeneze commision of inquiry kuhusu haya mambo..
 
Waislamu hawajui lugha nyingine yoyote zaidi ya fujo na machafuko!Fuatilia kuenea kwa dini hii ilikuwaje!Kwa sababu hii basi ili kuongea nao yapasa kufahamu lugha yao nayo si nyingine bali risasi za moto tu hamna lingine!Piga risasi kama ustadhi hapo juu basi ndio mtasikilizana!aisee hiyo picha nimeiweka screen server!Nimefurahishwa sana na reaction ya wanigeria!hamna longolongo chapa risasi za m******ni ndio maelezo baadae!hii teknik wanaiweza sana waisraeli;piga mabomu mpaka kieleweke!pole pole mtakaa sawa tu pumbavu!No to Mahakama ya KADHI(isomeke KAZI)no to OIC!

Sasa nani ni irrational hapa???

Baina ya wewe na wenzio waislamu waTanzania, nani ambao wanakaanga mbuyu za machafuko Tanzania kwa chuki zao???.
Mahakama ya kadhi ni kwa waislamu na kwa ajili ya masuala "civil" ya kiislamu, ndoa, mirathi, n.k, n.k ambapo waislamu wenye kuamini dini yao wanataka kuhifadhi dini yao kuvitendo katika mambo haya. "criminal" issues watatupiwa wenyewe serikali, au ndio husikii, huoni, wala hurationalise kwa chuki?

Katika mabadiliko haya ya kilimwengu hivi sasa hebu semeni nyinyi ndugu zangu wakiristo; Mtazuia vipi Mabaradhuli/******* kurithishana?, Mtamzuia vipi mpumbavu mwenye pesa au cheo kudai mwana/mtoto ndani ya ndoa yako ya halali na mkeo. Haya kama mategemeo yenu ya sheria ni katika mahakama za ki-secular? ambazo zinafungua njia kwa kutoa haki sawa kwa laana za namna hii, sahauni !!!
Nyinyi wakristo kama mnayaridhia hayo sawa, sijui mtasimamia wapi hapo nabii wa Mwenyezi Mungu Isa (Jesus) atakaposhuka?

Kwetu sisi waislamu, mirathi na ndoa ni mifano miwili ya taasisi takatifu za kijamii ambazo katika hii tunayoiita globalisation makafiri ambao wanajificha ficha miongoni mwenu nyinyi wakristo huku mkiwasherehekea, wanatamani kwa uvumba na udi kuyaweka masuala matukufu kama haya uchi, wazi na ovyo. Na kilichopo baina ya hayo malengo yao na morality of human societies which pose as a protective shield is, and will continue to be ISLAM and that why they must get rid of it. They use everything to make sure they eradicate it. They brain wash you to hate islam ambapo nyinyi wakristo hampo tayari na katu hamtaweza kuzuia destruction of just those two examples of moral issues at this globalization process.
Ewe mwanamke wa kikristo soon Civil/secular courts zitampa sawa mirathi ya watoto wako kwa ****** wake mumeo aliyemficha kwa muda mrefu. Kwa mahakama hizi za haki za binadamu za kimagharibi haya yanatokea yanakuwa accomodated ndani ya so called sheria zao, na mifamo ipo. Chini ya mahakama ya kadhi hakuna atakayesogea kuleta ufundo wa namna hii katika suala la ndoa na mirathi, na kama mamlaka itaongezwa basi adabu ya mabaradhuli wa namna hii is justifiably overwhelming.

Mzee Muafrika na wenzio, hiyo miwili ni mifano tu lakini mambo yapo mengi. Je hii inaweza kukufanya kufikiri?
Hivi kama una binti wewe na usithubutu hata kusema kwi!! pindi anapoponyoka na kuingia kuajiriwa kwa kuuzwa kama malaya? kuajiriwa sio uchangu doa? kama wanavyofanywa Las Vegas vile. Sijui uko wapi wewe bwana mkubwa lakini huku ughaibuni akikuitia polisi unaweza kulala ndani kwa ajili ya imani yako mwenyewe kwa binti yako, unayajuai hayo? Hebu fikiri baina ya mahakama hizi na mahakama ya "Sharia" kama mfano ya kadhi ipi inalinda jamii katika hili? Najua pengine unasema, si hiari yake, okay sema hivyo na inshaAllah Jesus atakapokuja tena au utakapofufuliwa sema hivyo hivyo na sisi waislamu tutasema tunavyosema "Ewe Mola, unajua fika kwamba ndugu zetu waTanzania walituua sisi kwa kiburi na chuki zao kwasababu tulisimama kidete kutaka kuweka hai uliyoyaamrisha". Tulianza kutaka mahakama za kutekeleza maelekezo yako, wakakataa kwa chuki zao, tukadaia zaidi tuakijua fika ni haki yetu wakakataa na sasa tena walifanya hivyo huku wakijiandaa wakijua kwamba kuna vijana miongoni mwetu wataloose temper, hivyo tena wakapata sababu na kutuangamiza sote"

Mzee mwafrika na wenzio mwenye macho haambiwi tizama. Fungua macho na akili itafunguka!!!
 
Yapata wiki 2 tangu habari za vifo takriban watu 800 wameuawa huko Bauch na maiduguri nigeria,lakini mashabiki wote wa issue ya kadhi awepo hapa nchini wako kimya kama vile hawasikii habari hizi,pengine nilitarajia kusikia wakitoa rambirambi kwa ndugu zao hao kwa maafa yaliyowapata!!huu ni UNAFIKI wa hali ya juu!!!

Sina lengo la kudiverge concetration ya issue muhimu za kitaifa!! lakini ni vyema kuwataarifu watanzania kuwa macho na watu wa aina ya majuva,mkandara na wengine wote wanaoshabikia mahakama ya kdhi hapa, hawaitakii mema nchi hii!!!!

Chanzo cha kuwepo hao suna-al jamaa na boko haram ni kukubaliwa kutumika kwa sharia katka baadh ya majimbo ya nigeria,baada ya kupata hilo waanzisha madai mengine zaidi, ndivyo inavyokuwa...

Ukimya wa watu hawa kuongelea agenda hii ya kusikitisha juu ya mauaji haya, unaonyesha dhahiri,UNAFIKI,UBINAFSI,UPUMMBAVU na USHABIKI uliopita kiasi bila kujua hatari ya ushabiki wao kwa taifa letu!!

SHAME ON YOU ALL!!!!!!!!!!!!!!
 
duh! hii kali! ...mtoa mada una uhakika hujaathiriwa na jua kali?
 
Kwa mtu mwenye upeo na mapenzi ya amani ya nchi yetu mambo ya kadhi na OIC ni ya kuogopwa kama ukoma! Pinda alisema kuruhusu mambo ya kadhi ni kuleta fujo lakini all of a sudden akabadili uelekeo kwa kupenda kukaa madarakani na kujaza tumbo lake! Viongozi wetu wamerithi amani na walifikiri imekuja yenyewe kumbe ilitengenezwa na waasisi wetu! Historia itawahukumu viongozi wa awamu ya nne kwa kupoteza mwelekeo sahihi wa nchi yetu!
 
Back
Top Bottom