Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,675
- 22,265
Goli moja bila pointi moja, magoli matano ni mapambio tu.Kimoja nacho kinatia mimba!๐๐๐คธโโ๏ธ
Goli moja bila pointi moja, magoli matano ni mapambio tu.Kimoja nacho kinatia mimba!๐๐๐คธโโ๏ธ
Hilo moja tu ni asante kipa maana kawazawadia goli gani la kufungwa lileLeo 5 zimekwama wapi ?
wamepona chupu chupu.Mkuu..,๐ค๐ค
Weuwee... Usiku huu ..Leo 5 zimekwama wapi ๐ธ๐ธ?
wamepona chupu chupu.
Sisi tulishinda 3.
Kesho mashujaa tunampasua tena
Alafu!?wamepona chupu chupu.
Sisi tulishinda 3.
Kesho mashujaa tunampasua tena
Hili Kono la nyani halikuwaacha salamaLeo 5 zimekwama wapi ๐ธ๐ธ?
Kupona chupu chupu ndio nini?. Kushinda 3 ndio point ngapi na kushinda 1 ni point ngapi?.wamepona chupu chupu.
Sisi tulishinda 3.
Kesho mashujaa tunampasua tena
Kwani kinyume na kunywa maziwa ni kuwa mlevi wewe utoh pollow?Sio kila mtu ni mlevi kama wewe zuwena
View attachment 2934573
AmesemajeHahhaa kajichanganya sana
Full time Yanga 1 Geita 1Game inaisha suluhu hii
Maanake ni circle haina mwisho ๐
GG Wana PesaLeo 5 zimekwama wapi ๐ธ๐ธ?
Yaani Yanga asipofunga mtu 5 inakuwa habari ๐๐๐ Kweli yanga baba laoLeo 5 zimekwama wapi ๐ธ๐ธ?
Soma komenti za wenzako hapo juu.Yaani Yanga asipofunga mtu 5 inakuwa habari ๐๐๐ Kweli yanga baba lao