Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 13,441
- 28,275
Kila la kheri Yanga sc
🤣😂😁
KabisaLeo we only need burudani
Baadae usikimbie hapa😁😂View attachment 2861879
Chama kubwa.
Kikosi cha Valanta Zanzibar.
Wakabeni Utopwinyo wa droo, wanampango wakuwapiga nyingi.
Msikubali kabisa wanetu.
Walishafuzu hawakutaka kuumiza wachezaji wao.Tuwakumbushe pia huyu Singida FG alimpiga APR goli 3.
akampiga JKU goli 4.
Sisi tumemcharaza.
Simba ushindi ni Timu ya tofauti sana.
Inakuuma nini?Mods hizi thread za mechi muwe mnaanzisha ninyi tu, saa 8 hii usiku mtu anakimbilia kuanzisha thread ya mechi itakayochezwa saa 2 usiku.
Haufurahii timu yakoHizi mechi ziishe watu tuanze kufuatilia hili kombe, timu hazieleweki shida tupu!