FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,237
103,890
Screenshot_20230722_145211_Gallery.jpg

Screenshot_20230722_145144_Gallery.jpg

Uwanja bado ni mweupe ndugu msikilizaji. Tuendelee kusubiri, tuwe na subira

Hapa hapa JF, itakuijia mechi ya kirafiki kati ya Yanga na Kaizer Chiefs mishale ya saa moja usiku.

Hakuna kukimbia

1690041654874.png


1690041727295.png
 
Haya wananchi toeni 10,000 mkamuone kinda Skudu (33) kwa miaka 11 kacheza jumla ya dakika 4422 kwa kipindi chake chote, sawa na mechi 50.

Uzuri wa tamasha hili Skudu ni multitalent ana waofa wananchi kitu kingine cha ziada.

Yani ukisema hutaki kwenda uwanjani kwasababu hujaridhishwa na kiwango chake the guy is superb dancer you can enjoy his moves too.

So huna sababu ya kutoenda uwanjani.
 
Back
Top Bottom