mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,141
- 3,452
Inapendeza sana, tofauti ya uelewa wa masomo ndio iitaanza kuwatenganisha
Na wewe piia ulicheza?Umenikumbusha mchezo wa baba na mama,enzi hizo za utoto
Love your enemies and hate your friends...kwa kweli mkuu, mioyo yao haina hata chembe ya unafiki
Na wewe piia ulicheza?
NDOHO SHIDA....HAMNA SHIDA...RAHA TU...