Friends forever,Inasisimua mno!

Inapendeza sana, tofauti ya uelewa wa masomo ndio iitaanza kuwatenganisha
mkuu hao ni mapacha wanaofanana kama sikosei na kama ndio hivyo huwa wanafanan kwa mambo mengi tu ikiwemo akili, don't expect that
 
Daaaah hadi nimewamiss marafiki zangu wa utotoni,enzi hizo tunaweza kuvua mashati/t-shirts na kubaki vifua wazi!
Oooh,I miss those days!
yeah Nifah, those beautiful moments of our life has gone
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom