Haki ya nani we mtoto labda nisikushike! Wala sihitaji kukuombea ban! Omba tu nisikutie mkononi! Labda ubadili mtaa.
Hawa ni mapacha, wanaonekana kuwa na afya na furaha sana. Nimewapendaaaaa, yaani tabasam lao limenifanya nitabasam pia as I was so gloomy today. Asante Mbuzi Mzee for brightening my day.
MadameX hawezi kukusaidia maana file lake natembea nalo liko kwenye top 3 hawezi kukubali kuharibiwa na wewe. Wewe niloposoma utangulizi tu, nikaweka kando. Sasa hasira zako umehamishia huku. Si vizuri unajua. lolWe Cool Gentleman vipi wewe? Kwani kwenye ule uzi ulikuwa unatafuta mchumba au rafiki wa kike wa kumjali? Halafu una tabia mbaya! Mambo ya ule uzi unayaleta vipi huku? Ndio maana ninakuambia hujakua wewe! MadameX njoo nisaidie huku huyu dogo ananidhalilisha!
MadameX hawezi kukusaidia maana file lake natembea nalo liko kwenye top 3 hawezi kukubali kuharibiwa na wewe. Wewe niloposoma utangulizi tu, nikaweka kando. Sasa hasira zako umehamishia huku. Si vizuri unajua. lol
Pumbavuuuuuuuuuuuuu (Kama ya Ray wa Bongo Movie)
Usipoangalia na wachumba wenyewe utawatisha kwa jinsi ulivyo bingwa wa kutukana. Sasa hapo hujanywa zile pombe zako ukilewa je? Usijesema sijakuambia.
Haaaaa haaaaa
Mi siko hivyo bana. Usinipeperushie ndege wangu.