Fremu kali inapangishwa Dodoma

Embassy

Member
Feb 4, 2012
34
16
Fremu inatizama barabara, kubwa inafaa kwa biashara yoyote ile. Haihitaji matengenezo.

Kod laki 7, malipo ni miez 12. Kilemba gharama za matengenezo aliofanya mpangaji anaeachia hapo zinarudishwa (Kilemba million 3).

Mlango wa kioo
Mlango wa get la nnje
Body na taa pamoja na feni
Kabati zote 5 znazoonekana hapo
Tiles na rangi.

Mawasiliano: 0718436694
20230626_144554.jpg
20230626_144617.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom