Freemason live on East africa radio now

I'M FED UP WITH THIS FREEMASON THNG HITTING MINE EARS,GUYS YOU GOTTA BE SERIOUS N CHECK DAT THANG OUT,I N I THINK MOST OF US THINK THE GODAMN THING THE WRONG WAY! CHECK OUT ABOUT THE ILLUMINATI IN GENERAL,THE BAVARIAN BROTHERS,THE SKULL AND BONES, THE LEE,THE ROCKEFFELLAS,THE ROYAL FAMILY OF THE UK.CHECK IT OUT DEEP AND LEARN MEN LEST YOU BE MISLED, yangu macho

dats true bro bt t cnt stop us thnkn n dscacn.
 
Hawa matapeli wa magomeni ndio wanajiita freemason.
.
Hiyo picha ya hapo juu ni jamaa mmoja anaejiita sheikh wa hapo magomeni mwembechai. Jina lake anaitwa Kongulilo. Hata watu kwenye taasisi nyingi za serikali wanamfahamu kwamba kichwa chake kina vipindi kinapoteza network hivyo wanamchukulia tu easy.
.
 
Hatudanganyiki!!!!!!!!!!!! mnataka watu wasifanye kazi na wasiwe matajiri 2 watasema huyu ni freemanson? No bana!
 
.
Hiyo picha ya hapo juu ni jamaa mmoja anaejiita sheikh wa hapo magomeni mwembechai. Jina lake anaitwa Kongulilo. Hata watu kwenye taasisi nyingi za serikali wanamfahamu kwamba kichwa chake kina vipindi kinapoteza network hivyo wanamchukulia tu easy.
.

Thanx God you are there mkuu...hawa pumbafuuuu
 
Sijasikiliza hicho kipindi ila Freemason is worship of lucifer!Sheria zao wameziweka wazi kwa kila mtu kusoma.Read freemason rituals kwa undani,wanatumia symbols na huwavuta watu katika maagano ya damu ili wapate utajiri.Hili ni swala la ulimwengu wa roho na ukitaka kulielewa lazima uzungumze lugha yaulimwengu wa roho.Hakuna jambo linatesa kama maagano yanayohusisha damu,mara nyingi ufahamu wako unatekwa na unaishi chini ya mamlaka ya kuzimu.Kutoka peke yako ni ngumu sana na setting ya maagano haya ni usiweze kutoka.Source ya haya mambo ni wenzetu wa magharibi ambao wametengeneza network kubwa duniani na ss wanataka kuingia nchi zetu maskini ili kurubuni thinking yetu na kumsahau mungu wetu.Mimi nashauri tufanye kazi na kuridhika na tulivyonavyo hizi tamaa za pesa za Haraka haraka zitatugharimu sana,wengine mpk sasa wameshaua wazazi,watoto wao sbb ya imani hizi potofu za utajiri,na bado wanaona sawa kama si kutekwa fahamu nini.Unaua ndugu zako wapendwa ili hizo pesa ule na nani sasa.Kwa wale wakristo neno linasema Shika sana ulichonacho asije mtu akaitwaa taji yako!
 
weka ushahidi hapa isiwe unaongea kama mtu wa kijiweni ambao hakisikia jambo bila kuhakikisha analitangaza kama anafahamu
 
Back
Top Bottom