Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA) Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kesho

Kwa sababu ya uwepo wa mechi ya Simba na Yanga kesho, tungependa kusitisha maandamano ya UKUTA mpaka pale tutakapowajulisha. Maandamano yako palepale!

Mwenyekiti akisema nani wa kupinga???
 
Ni siku tulivu sana iliyokuwa inasubiri na watanzania wengi ambapo Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe ataongea na watanzania kupitia mkutano wa waandishi wa habari utafanyika leo.
Mbowe ataongelea kuhusiana operesheni [HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG] ,kuhusu Tafiti za Twaweza na mambo mengine.
Kwa kushirikiana kwa pamoja Tumaini Makene ,Molemo ,Crashwise ,Mwanahabari Huru Ben Saanane tutawaletea yanayojiri kwenye mkutano huu kutoka Makao Makuu ya Chadema .
 
636074358206691355472989184_like-all.png

swissme
 
Tunajua hakuna cha UKUTA wala UKUTI.
Zungumzien hiyo Twaweza tu.

Chadema mmekosa nguvu ya kuinfluence wananchi, angalien Odinga anavyotoa tamko na watu kutii, pamoja na vitosho vyote vya police lkn Odinga ana nguvu ya kushawishi.

Poor Chadema
 
Wana JF kwema.
Ni siku tulivu sana iliyokuwa inasubiri na watanzania wengi ambapo Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe ataongea na watanzania kupitia mkutano wa waandishi wa habari utafanyika leo.
Mbowe ataongelea kuhusiana operesheni [HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG] ,kuhusu Tafiti za Twaweza na mambo mengine.
Kwa kushirikiana kwa pamoja Tumaini Makene ,Molemo ,Crashwise ,Mwanahabari Huru Ben Saanane tutawaletea yanayojiri kwenye mkutano huu kutoka Makao Makuu ya Chadema .
Anajifariji TU..mwambieni katika hili la UKUTA ameisha shindwa vibaya mno......Halafu na nyie waandishi wa HABARI mumuulize HIVI tokea AWAMU ya tano imeingia madarakani HIKI chama kimeisha toa matamko mangapi????na ni yapi yametekelezeka na MPAKA SASA chama hiki kupitia matamko haya KIMEISHA TUMIA KIASI GANI CHA PESA???? maana sisi huku wengne tunaona haya matamko ni kah mradi ka hawa mabwana waKUBWA kupeana posho kupitia haya matamko na hizi vugu vugu MAANA HAKUNA HATA CHA MAANA WAMEISHATEKELEZA KUPITIA HAYA MATAMKO zaidi ya kuwalaghai WATANZANIA.........UZURI NI KWAMBA TWAWEZA hawajawai kuwa WAONGO KATIKA TAFITI ZAO....rejea uchaguzi wa MWAKA 2015..........kwenye hili la TWAWEZA huyu mwekiti wenu angenyamaza tu zaidi ya kila siku kupingana na HIZI TAFITI BILA YA YEYE KUJA NA TAFITI YAKE ALIYOFANYA KUPINGNA NA HIYO YA TWAWEZA atakuwa ana bwabwaja tu,,,,,,,,AONDOKE KWENYE HIKI CHEO AWAACHIE DAMU MPYA
 
requesting....................................................................................
 
Wana JF kwema.
Ni siku tulivu sana iliyokuwa inasubiri na watanzania wengi ambapo Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe ataongea na watanzania kupitia mkutano wa waandishi wa habari utafanyika leo.
Mbowe ataongelea kuhusiana operesheni [HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG] ,kuhusu Tafiti za Twaweza na mambo mengine.
Kwa kushirikiana kwa pamoja Tumaini Makene ,Molemo ,Crashwise ,Mwanahabari Huru Ben Saanane tutawaletea yanayojiri kwenye mkutano huu kutoka Makao Makuu ya Chadema .
Disgrace to this nation.
 
Tusidanganyane dogo...naona bado Mbowe anawaaminisha kuwa ''marehemu atafufuka'' endeleeni na maombi.
 
Mbowe amechoka...yes amefanya makubwa kwa chama lakini ameshafikia optimal point ....hawezi kufanya zaidi ya hapo

Ni wakati mwafaka akae pembeni
 
Ukweli tupu.
Nimegundua udhaifu wa chadema.
Badala ya kupambana kuipata katiba mpya wanakuja na ajenda zisizo na maana.
Dokta Slaa alilalamika kuibiwa kura, lowassa alilalamika kuibiwa kura lkn mpaka sasa chadema haitoi suluisho la haya yotee.

Mnasubiri 2020 nako mseme mmeibiwa kura. Mbowe kwa sasa hana ubunifu wowote ndani ya chama. Anatumia nguvu ya uenyekiti tu na nguvu ya lowassa lkn bila lowassa atambue na chadema going to die.

Mbowe anajitahidi kujijenga yeye mwenyewe kuamini kwamba bila yeye hakuna chadema na ukitizama ni kweli.
Ilimpasa mbowe kuwajengea vijana waliopo chadema ujasiri na ushawishi ambao watakuwa mbadala wake.

Wafuasi wa chadema na wanachama wengi hili hawalioni, na hapa wengi watasema mimi ni Lumumba buku 7.
Ila mwisho wa siku every thing wote tutashuhudia ingawa hamtajua chanzo ninini.
 
Pamoja na chuki zako binafsi Freeman Mbowe atabaki kuwa shujaa wa Chadema kiongozi imara ambaye anajua nini anakifanya na kwa wakati gani. Ungekuwa na nia njema huo ushauri ungepeleka sehemu husika humu JF hakuna ofisi ya chama.
 
Back
Top Bottom