Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

Na ww acha ulimbukeni chama ni taasisi ya watu watu wengi. Ila mbowe amekifanya chama kampuni na yy ndo mkurugenzi mtendaji. Au kwa sababu baba mkwe ndio muasis?
kwa hiyo we baba yako akianzisha kampuni akampa shemeji yako ukurugenzi hio kampuni itakuwa ya watu sio tena ya familia si ndio au?
 
mbowe aondoke chama si mali yake
Piga kura ya hapana wkt wa uchaguz. Ukituambia aondoke now ni sawa nankutupigia kelele. Sio muda wa uchaguz huu.

Wengi hawamtaki JPM ila hawawezi kumwondoa kwa matamko ya kwenye social media.
 
Kwa mwendo wa Magufuli ,Mbowe ameshindwa kuja na fikira mpya za kuendesha chama ,Tafadhali tuachie chama.

Ndugu zang na wanachama wenzang hili nimeliona na bado najiuliza ni kutokana na elim yake (from 6 zero) imeshindwa kuendana na Docta Magufuli au nini,Tafadhali Mbowe tuachie chama.

Yangu ni hayo tu.
Akuachie chama we kama nani?!!....... Unamjua mwenye Chadema wewe?
 
Kwenye mapambano kama haya ya sasa,adui asikuchangulie Nahodha wa meli yako.Mazingira ya uchaguzi mdogo na hali ya demokrasia ya sasa Mh Mbowe unahitajika kuliko 2012 usiache chama chetu kwa mbweha na fisi waaofurahia Tanzania kupotea katika haki na demokrasia ya kweli.Pambana kamanda hadi tone la mwisho.Uzoefu wako na Maalimu Seif tunauhitaji sana la sivyo sioni mwanga wa demokrsia halisi tunayoipigania.
 
Kwa mwendo wa Magufuli ,Mbowe ameshindwa kuja na fikira mpya za kuendesha chama ,Tafadhali tuachie chama.

Ndugu zang na wanachama wenzang hili nimeliona na bado najiuliza ni kutokana na elim yake (from 6 zero) imeshindwa kuendana na Docta Magufuli au nini,Tafadhali Mbowe tuachie chama.

Yangu ni hayo tu.
Hahaha...elimu ya pihechidii ambayo muhusika ameisomea kwa lugha ya kiingereza na bado hajui kiingereza..aiser
Ben saanane Mungu akurehemu huko ulipo
 
Na ww si upite iv yaan kwa kajihoja chako icho ambacho hakitoshi hata kichwa cha habar ndicho kimtoe mbowe kwenye nafas hiyo
 
Back
Top Bottom