Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

Mgogoro ni kati ya serikali na madereva yy kafuata nn au alienda kukata tiketi ya kwenda zanzibar?
 
Unashindwa kufahamu mambo haya kuhusu Mbowe.
1/Mbowe ni mwakilishi wa wananchi ndani na nje ya bunge.
2/Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kinachotawala jimbo la Ubungo.
3/Mbowe ni mtu muhimu na mashuhuri kisiasa, kibiashara na kijamii.
4/Mbowe ni sehemu ya wadai wa usafiri ndani kama Abiria.
5/Mbowe ni kiongozi mkubwa mwenye ushawishi, busara na maarifa ya kutosha katika kutatua migogoro sehemu zenye mijadala yenye misuguano.
6/Mbowe ni mkazi wa Tanzania ambaye ameathirika na mgogoro wa madereva.
 
Hawa madereva tunawachekelea sana,kila siku wanachinja ndugu zetu tunakaa kimya.Wakati umefika kama wao wanavyogoma kiholela holela ikitokea dereva amesababisha ajali ya kizembe na bado anapumua basi apate ile adhabu tunayowapa vibaka mitaani kwetu,Fire.

Mkuu naona siku yako imevurugwa toka Jana. Angekwenda Zitto kelele hizi usingeziona
 
Mbowe awezi kumaliza mgomo wa madereva ni serikali lete vitu vya kueleweka cio kubashiri huyu mbowe Pierre nkurunziza wa Tanzania anaichakachua ya katiba ya chadema hili aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema kamwe awezi kumaliza mgomo wa madereva peleka utumwa wa fikra uko kwenu
 
uzuri wa viongozi wa chadema ni kusema yale wananchi wanayoyataka ubaya wa ccm ni kutumia hila mbele ya wananchi
 
Chadema itumie fursa hii kadri iwezavyo, mgogoro wowote unapojitokeza kati ya Serikali na Wananchi, Chadema iingilie kati ili kutafuta suluhu
Ndio maana ya Serikali kivuli
 
Mbowe awezi kumaliza mgomo wa madereva ni serikali lete vitu vya kueleweka cio kubashiri huyu mbowe Pierre nkurunziza wa Tanzania anaichakachua ya katiba ya chadema hili aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema kamwe awezi kumaliza mgomo wa madereva peleka utumwa wa fikra uko kwenu

Hatujasema Mbowe atamaliza mgogoro, ila kisiasa Chadema 3- CCM 0. Ndio maana Makonda alizomewa, Mbowe alishangiliwa
 
Unashindwa kufahamu mambo haya kuhusu Mbowe.
1/Mbowe ni mwakilishi wa wananchi ndani na nje ya bunge.
2/Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kinachotawala jimbo la Ubungo.
3/Mbowe ni mtu muhimu na mashuhuri kisiasa, kibiashara na kijamii.
4/Mbowe ni sehemu ya wadai wa usafiri ndani kama Abiria.
5/Mbowe ni kiongozi mkubwa mwenye ushawishi, busara na maarifa ya kutosha katika kutatua migogoro sehemu zenye mijadala yenye misuguano.
6/Mbowe ni mkazi wa Tanzania ambaye ameathirika na mgogoro wa madereva.
Mbowe ni mtu muhimu kibiashara? Kuna Dereva wake naye aligoma nini? Basi lake linaitwaje?
 
Tumechoka CCM
Tumechoka CCM
Tumechoka CCM
.
.

Ni kawimbo ka line moja. Kama ukikasoma hakana nguvu. Ngoja kaimbwe. Kwa wale wanaotambua hata Jeshini kuna kikosi maalum kwa ajili ya kuimba na kuwapa hamasa wanajeshi wenzao wanapokuwa mstari wa mbele vitani.

Jana haka kawimbo kaliimbwa na kubadili sura na hali iliyokuwa pale Ubungo. Watu walijawa na hamasa na matumaini pale KUB Mh. F H Mbowe alipoingia. Watu waliona tumaini jipya, wakajawa na shauku-wakataka japo neno moja kutoka kwake. Watawala wakamnyang'anya vipaza sauti. Pamoja na umati ule walisikia hata bila kipaza sauti. CDM Tumaini Jipya la Watanzania!

Wakaamini. Unaposikia nyimbo za hamasa namna hii ni ishara ya kwamba bado hatua moja tu kazi inakwisha.

Wana-CDM bado hatua moja tu-Tuongeze nyimbo za hamasa, ili tujenge shauku.
 
Mbowe bila ZZK hanaga washauri wazuri ....yeye mshauri wake siku hizi Lema, Msigwa na Kbenea unategemea nini hapo?
Zitto kajaa makamasi kichwani hana chaa kumshauri Mbowe asingekuwa nje ya ulingo amefiksiwa kisiasa na wajanja wa wasaliti
 
Watanzania wenzangu hebu tuitazame CCM kwa jicho la tatu. Hivi ni kweli ndani ya chama hiki tawala hakupatikana mtu mwenye ushawishi kuweza kuongea na madereva wa Ubungo waliogoma? hivi, ni kweli inawezekana CHADEMA ni chama kilichokosa mvuto kama wanavyodai? Sasa kinawezaje kupokewa kwa shangwe na nderemo pale ubungo hadi kuongea na madereva hatimaye wakasitisha mgomo na kuondoa adha iliyopo kwa wasafiri?
Kama chama kimeshindwa kusuluhisha mgogoro wa madereva ubungo tu, hivi tunategemea chama hiki kinaweza kusuluhisha migogoro ya Wilaya nzima ya Kinondoni? Au kukiwa na migogoro mbalimbali kwa Pande zote za mkoa wa Dar es Salaam, hiki chama kitaweza kweli? achilia mbali kwa nchi nzima.
Watanzania ndugu zangu, ni lazima tujipime sasa tunapoenda kupiga kura hapo Oktoba. Tusifanye makosa, nasema tena tusifanye makosa. CCM imeshindwa tokea uhuru na haitaweza kamwe. TWENDENI TUKAJIANDIKISHE, TWENDENI TUKAPIGE KURA ILI KUIONDOA HII CCM ILIYOSHINDWA.
Nawasilisha.
 
Unashindwa kufahamu mambo haya kuhusu Mbowe.
1/Mbowe ni mwakilishi wa wananchi ndani na nje ya bunge.
2/Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kinachotawala jimbo la Ubungo.
3/Mbowe ni mtu muhimu na mashuhuri kisiasa, kibiashara na kijamii.
4/Mbowe ni sehemu ya wadai wa usafiri ndani kama Abiria.
5/Mbowe ni kiongozi mkubwa mwenye ushawishi, busara na maarifa ya kutosha katika kutatua migogoro sehemu zenye mijadala yenye misuguano.
6/Mbowe ni mkazi wa Tanzania ambaye ameathirika na mgogoro wa madereva.
7.Baba yake Mbowe ndiye aliyemfadhili Nyerere kwenda kwa malkia kudai uhuru
 
Muhimu ni watu wajiandikishe kwa wingi,sanduku la kura lisimamiwe haswa!Hivi karibuni nilipata ushuhuda wa mtendaji wa kata fulani Chato,akasema enzi zile katibu ccm alikua anampigia simi Dc kuwa mambo mabaya kata fulani basi Dc anampigia Mkurugenzi kumwambia ahakikishe ccm inashinda,basi Mkurugenzi anampigia mtendaji kata na kumuamuru amnunue wakala au amtoe nje kwa mbinu hata ya kutumwa dukani ili waibe kura.Anasema siku hizi ngumu maana UKAWA wapo mawakala 8 ndani ya chumba dhidi ya 2 wa ccm
 
Watanzania wenzangu hebu tuitazame CCM kwa jicho la tatu. Hivi ni kweli ndani ya chama hiki tawala hakupatikana mtu mwenye ushawishi kuweza kuongea na madereva wa Ubungo waliogoma? hivi, ni kweli inawezekana CHADEMA ni chama kilichokosa mvuto kama wanavyodai? Sasa kinawezaje kupokewa kwa shangwe na nderemo pale ubungo hadi kuongea na madereva hatimaye wakasitisha mgomo na kuondoa adha iliyopo kwa wasafiri?
Kama chama kimeshindwa kusuluhisha mgogoro wa madereva ubungo tu, hivi tunategemea chama hiki kinaweza kusuluhisha migogoro ya Wilaya nzima ya Kinondoni? Au kukiwa na migogoro mbalimbali kwa Pande zote za mkoa wa Dar es Salaam, hiki chama kitaweza kweli? achilia mbali kwa nchi nzima.
Watanzania ndugu zangu, ni lazima tujipime sasa tunapoenda kupiga kura hapo Oktoba. Tusifanye makosa, nasema tena tusifanye makosa. CCM imeshindwa tokea uhuru na haitaweza kamwe. TWENDENI TUKAJIANDIKISHE, TWENDENI TUKAPIGE KURA ILI KUIONDOA HII CCM ILIYOSHINDWA.
Nawasilisha.

Aaa hiyo mbona kwa sasa imeshakuwa "the practice rather than the exception"! Imetokea Arusha na Mbeya kwa nyakati tofauti kama sikosei, sijui kwingineko! na huko kote ni makamanda wa CDM ndio walikwenda na wakarejesha hali ya utengamano; credibility na moral Authority ya viongozi wote wa CCM na serikali yake vimeporomoka na kufutika vibaya mno!! sasa Ubungo imetia fora mpaka DC anachuchumaa chini kuogopa hasira za wananchi ndani ya wilaya anayoiongoza?!
 
Paul Makonda mkuu wa wilaya ya Kinondoni ni mwanachama wa CHADEMA?

Acheni ushabiki wa kitoto.
 
Back
Top Bottom