Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

Nina uhakika asilimia mia mbili. Jiulize tatizo ni nini. Kuondoa Traffic Officers barabarani amri inatolewa na Mbowe? Kusitisha mafunzo ya madereva, amri anatoa Mbowe?

Umejua ameongea nini? Maana hata ajaanza kuongea wacha kukisia mambo
 
sasa ni dhahiri bila hawa watu wa Mungu cdm sisi wananchi tungekwisha , tunawashukuru sana watu wa cdm , Mungu aendelee kuwalinda .
 
mturushie updates nn kinaendelea mbona kimia..hata kama anakunywa maji semeni...anapokea simu semeni...anaamgalia saa semeni...
tunapenda updates
 
Hapa Waziri mkuu Kivuli Akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwenye ofisi za Madereva Hapa Ubungo....Majadiliano yanaendelea....Huenda mgomo Ukatatuliwa leo Na Mh Mbowe..hii ni Baada ya Waziri mkuu kukataa kuja kuonana na Madereva hawa......Will keep you Updated.
attachment.php

Bora autatue mana Waziri mkuu na husika walipiga kimya wakitegemea nini .Wamepewa dhamana ya kuhudumia Watanzania waliowachagua wao wamebweteka wamekua ka vipofu kutokuona shida za wananchi.
 
hakika hiki chama kikipewa nchi watanzania tutapata raha sana ! madaraka hawana lakini wametatua mgogoro mkubwa namna hii ?
 
Umejua ameongea nini? Maana hata ajaanza kuongea wacha kukisia mambo
Ni elimu tu ya mambo itakwambia unataka kusema nini hata kabla hujatamka. Hili si tatizo la kisiasa, wanasiasa kutaka kuvuna mtaji wa kisiasa ni kujichuuza wenyewe. Hapo mwenye mamlaka ndio atatoa jibu la manufaa au hasara. Wengineo watakupotezea muda
 
Mkutano Umeanza kuna yule mzee alikuwa Ch 10 asubuhi ameanza kuongea......

Tayari Mbowe sasa Yuko Jukwaani....Shangwe ni kubwa sana hapa....Huenda suluhisho la Mgomo likapatikana leo hapa....Najitahidi kupata Voice clip ya kitakachozungumzwa na Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni....Nitaiweka hapa...
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • mbowe1.jpg
    mbowe1.jpg
    75.4 KB · Views: 22,261
  • mbowe2.jpg
    mbowe2.jpg
    74.5 KB · Views: 22,081
Bosco Saronga
Mbowe ni nani kwenye hii nchi hata AZUNGUMZE??
Kama una point kaa kimya mbowe ni nani......
 
Kazi nzuri Kamanda Mbowe.

Nchi inapoonyesha kuwa na ombwe la uongozi ni lazima tuonyeshe kunawatu wanaweza kuliziba hilo bila wasiwasi wowote. Tatizo kunawatu kutawala na kuongoza wamechoka,Miili imechoka, akili ndo kabisaa iko Usingizini!! Wanatamani tu kuendelea kutawala na kuongoza hawana kabisa Moral Authority ya kufanya hivyo, but kwasababu bila uongozi hawezi kuishi wanaendelea tu hawana Mission wala Vision wapo wapo tu...!!!

Tunategemea Makubwa kwa ujio wako Kamanda Mbowe.

BACK TANGANYIKA
 
Mgomo huu umeratibiwa na chadema walishorikiana na madereva ili kuitafutia UKAWA umaarufu wa kisiasa!
Kamwe hii haitawasaidia kupata kura za kuwapeleka ikulu!
Mwezi wa kumi si mbali...
 
Back
Top Bottom