Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

Maskini watz, shida kichani unatibu mkono. Mbowe hata akizungumza nao hatotatua shida yao, mara ngapi wameishia kubeba popularity kwa ahadi zisizofanyiwa kazi na CCM? Napenda wachina na waisrael, Piga kwenye kiini cha tatizo na sio kuyumbayumba na vumbi

Unauwakika hatatatua?
 
Chadema yashika nchi ....
-hongereni madereva vumilieni bado kidogo matunda ya nchi hii tuyale wote!
Pole c.c.m kwa laana hii ya karne.
 
hawa hapa wanamuwahi mbowe ubungo,udenda wa wivu umewajaa mdomoni.LMAO
ffu.jpg
hii kazi ni ngumu mno. kazi zisizohitaji persinal reasoning ni ngumu sana kufanywa na mtu makini.

Hata ukiambiwa 2+2= 6. lazima useme YES, duh!!
 
aiseee mbowe akitegua hii sitofaham nitajua kwel watanzania wamechoka
 
Lazima yeye aende maana serikali haipo ...watu wanakunya sura tu kama wanatafuna malimao badala ya ku sort out mambo ya msingi.
...mama yangu,apigwe tu,wapigwe tu but hivi yule jamaa yeye kila siku anashubiri mdomoni
 
Napewa taarifa kwamba vijana wetu wetu wananusa vitu vyenye ncha kali visije vikamdhuru kamanda wa anga
 
ulipotokea mgomo wa madaktari ilisemekana umeratibiwa na chadema,ulipotokea mgomo wa walimu ilisemekana umeratibiwa na chadema na leo hii tumefikwa na mgomo wa madereva mmeshaanza kuishutumu chadema kama ni kweli hao wote wanaiunga mkono chadema basi kwenye uchaguzi mkuu ujao tunaweza ku experience the difference.
 
Tatizo maCCM yamepoteza political legitimacy.
 
Back
Top Bottom