Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,804
- 218,449
huyu makonda amepigwa mawe na kufukuzwa , ndio kisa cha kuita jeshi zima.
huyu makonda amepigwa mawe na kufukuzwa , ndio kisa cha kuita jeshi zima.
Mbowe ni nani kwenye hii nchi hata AZUNGUMZE??
Mbowe ni nani kwenye hii nchi hata AZUNGUMZE??
Kwanini mbowe!!kwasababu pinda na sita wamewatelekeza raia.Kwanini Mbowe.? Kama kuna siasa chafu ktk hili madreva watakuwa watu wa ajabu sana.
Kwanini Mbowe.? Kama kuna siasa chafu ktk hili madreva watakuwa watu wa ajabu sana.
Kwanini Mbowe.? Kama kuna siasa chafu ktk hili madreva watakuwa watu wa ajabu sana.
Mbowe ni nani kwenye hii nchi hata AZUNGUMZE??
mkuu molemo ni vizuri ukituwekea hapa picha za kamanda mbowe akishangiliwa ambapo inasemekana madereva wamemsikiliza kwa makini sana na kuna tetesi kwamba wamemhakikishia kamanda mbowe kwamba kesho asubuhi wanaamsha magari kwa heshima yake , hebu tuweke sawa kwenye hili , hali ikoje ? hongera mbowe , hongera madereva , hongera cdm .
mkuu standalone mungu akubariki sana , niko chamanzi lakini najiona kama vile niko ubungo ! asante sana .Umati wa Madereva Ubungo Wakisubiria kumsikiliza kiongozi wa Upinzani na Waziri mkuu Kivuli Mh Freeman Mbowe.
Kwa nini Mbowe?! swali la kijinga sana hilo! Nina hakika hulijui hili! Nature abhors a vacuum! (Maumbile hayapendi ombwe)! sasa kama wahusika kwa maana ya mzee wa Piga Peter Pinda tu na muhujumu wa katiba Six wanakwepa majukumu yao eti kisa wao ni watu wakubwa sana!! ni lazima iwepo njia ya Tatu ya kushughulikia tatizo hilo; afterall Mbowe is the PM in waiting. Waziri Mkuu kivuli. angalia reception aliyopata kwa kuonyesha kwamba anajali! nakuapia mgomo huu unakwisha as soon as Mbowe atakapoondoka Ubungo; Ana goodwill; political mileage na ushawishi wa kutosha katika jamii hususani walalahoi.
Ndugu, nchi yoyote kuna utaratibu wa utawala kuanzia mjumbe wa shina mpaka rais. Sasa ikitokea wakati wowote huu mfumo ukawa dormant basi atatokea mtu yeyote kusimamia mambo na endapo ataonekana kutatua matatizo basi kila mmoja atamsikiliza. Ngoja tuona kama Mh. Mbowe anaweza kuwa ntu wa namna hiyo!
Mbowe ni nani kwenye hii nchi hata AZUNGUMZE??