Freeman Mbowe aitwa Polisi Kanda maalum Dar es Salaam

Ktk kitu Mtukufu anaogopa ktk maisha yake ni Upinzani, yaani akisikia upinzani tu anarudi Msalani
 
Ni UOTE="Econometrician, post: 17023848, member: 178807"]polisi wa Tanzania wamekosa kazi
Ni kweli mkuu, kule Geita imebidi waziri Mwigulu aende mwenyewe kumuokoa yule kijana wetu. .. Wao Wanasubiri maandamano na mikutano...[/QUOTE]
Aibu iliyoje?
 
Huyu ndio kiherehere..

Hatuwezi kuangalia nchi ikivurugwa na watu wachache
acha kuleta ulofa wako we unaona sawa wapinzani kuonewa?ipo siku familia yako itajaguswa na wewe uone uchungu jinsi wapinzani wanavyoonewa.
 
Kinachofanyika ni kujaribu kujenga hofu miongoni mwa watu ili waweze kutawalika kirahisi.

Hii ni mbinu ya kutawala lakini itashindwa tu.
Dua zetu sasa hivi ni kwa viongozi wa upinzani wa kweli kama ukawa wawe na moyo wa subira na uvumilivu
 
Boli liko kwenu , yeye kasema subutu!
Nyie mnasema mnaweza!
Kaza mshipa ukaandamane jumatatu, uende na helmet ya bodaboda maana si virungu hivyo jamaa wanajifua!!
Subutu=thubutu

Kwani hivyo virungu ni model mpya auu?
Hivi wewe kwanza hata maandamano ya amani ulishawah kushiriki??
Kumbuka haki haiombwi bali inatafutwa.. Haki ukiiomba inakua co haki tena ni msaada..
Virungu mbwembwe tu
 
Subutu=thubutu

Kwani hivyo virungu ni model mpya auu?
Hivi wewe kwanza hata maandamano ya amani ulishawah kushiriki??
Kumbuka haki haiombwi bali inatafutwa.. Haki ukiiomba inakua co haki tena ni msaada..
Virungu mbwembwe tu
Ndo nasema boli liko kwenyu bana!
Andamana yu bwana mzee>
Fuata nyuki ule asali, au, fuata asali ule nyuki!!
 
Adamaneni mkamtoe, nguvu ya umma haishindwi bwana ayah! Halafu ratiba imebana sana, ila najiuliza Hai inawabunge wangapi? Naona ka nusu ya wabunge viti maalum asili yao hai.
Unalaana ya kolomba wewe siyo bure
 
Dereva wetu, anaipeleka nchi kubaya. Time will tell.

Mr. Godfrey-K &others,
Lazima tuwe wa kweli na tuache kutetea upuuzi kwa vile kasema Rais. CHADEMA wametumia uhuru wa Kikatiba kupaza sauti zao na hii iko mpaka kwenye Katiba ya UN inaitwa ''FREEDOM OF SPEECH'' kwa mtu kusema kile anachoona kinafaaa au hakifai na kina ukweli ilmradi havunji sheria. CHADEMA Kusema wameandaa UKUTA(UMOJA WA KUPINGA UDIKTETA TANZANIA SIYO KOSA.

JPM anajidhalilisha mwenyewe. Watu wanasema ukitaka kuwa mkosoaji wa wenzako lazima uwe smart kwenye mambo yako kuliko unaowakosoa. Tatizo la JPM ni kwamba baada ya kuukwaa Urais ambao wala hakuwahi kuuwazia kama kuna siku atakuwa Rais wa TZ anajiona ndo kafika na anaona kila kitu anajua hivo watu wengine wote kwake hawana maana.

Rais mpole, mwadilifu na mnyenyekevu kwa Watu wake lazima awe na staha na lugha ya kuonyesha kuwaheshimu watu wote kuanzia watoto wadogo, wakubwa, maskini,matajiri, marafiki na maadui wakiwemo na wapinzani. Lakini Rais JPM anawaona WAPINZANI kama maadui nambari wahedi na takataka, wasio na maana na kuwa wakifanya Siasa, Mikutano na Maandamano yeye kama Rais atashindwa kufanya kazi za Urais hivo walikubaliana na PM wake Majaliwa/Mabalaa kuzuia mikutano yote ya Kisiasa kisa eti Hapa ni kazi tu! !!! Hii ni dhana potofu kabisa na lazima ikemewe kwa nguivu zote mpaka hapo JPM na PM wake watakapoelewa somo. Polisi waache kutumiwa na Wanasiasa walioko madarakani vinginevo yaliyompata mwuaji wa Mwangosi yatawafika muda si mrefu!! Sina hakika kama mapolisi wamejifunza kitu kwa mwenzao Corporal Crispicius kwa kutotaka kuheshimu sheria na Katiba na kuendekeza amri za kipuuzi za Viongozi sasa anakula mvua 15!!!

Kuna tatizo gani watu wakifanya siasa na kuandamana?Hili ni jambo la Kikatiba na wewe kama Rais pamoja na PM wako siku mnaapishwa mliapa KUILINDA NA KUITETEA KATIBA YA SERIKALI YA JMT ikiwa ni pamoja na watu KUANDAMANA NA KUFANYA SIASA. Hakuna mahali popote Katiba ya Tanzania inasema baada ya Uchaguzi Mkuu ni marufuku kufanya siasa eti mpaka baada ya miaka 5.....???? Huku ni kutaka kuisigina Katiba kwa sababu tu ya hisia na mawazo potofu ya Kiongozi wa nchi!!!

Tuacheni porojo watu walete hoja za KUITETEA NA KUILINDA KATIBA YA TANZANIA na siyo kutetea mawazo ya Rais ambayo kwenye Katiba yetu hayamo. Kutisha watu kuwa wewe HUJARIBIWI NA HUTAJARIBIWA NI lugha fulani za ajabu sana kwa mwanadamu. Biblia inasema MTU HUJARIBIWA NA TAMAA ZAKE MWENYEWE, NA KWA HILI JPM HAHITAJI MTU WA KUMJARIBU KWANI TAYARI AMESHAJIJARIBU MWENYEWE!! Pole sana ngosha wa hapa Kazi tu.
 
Sina uhakika kama anaweza kuisoma
Kuisoma ataweza, Mwami ametushauri wananchi wote tunaopigania demokrasia tuandike kwa wingi barua kwenda ikulu kuashiria ubinywaji wa demokrasia. ... ili kuokoa maisha ya masikini kwenye UKUTA
 
Sina uhakika kama anaweza kuisoma
Soma vizuri.....!!!!
IMG_7548.jpg
 
Kuisoma ataweza, Mwami ametushauri wananchi wote tunaopigania demokrasia tuandike kwa wingi barua kwenda ikulu kuashiria ubinywaji wa demokrasia. ... ili kuokoa maisha ya masikini kwenye UKUTA
Mkuu mcubic hilo ni neno lenye maana lkn lazima ujue kuwa ndani ya act bado mna watu wanao jaribu kudhoofisha nguvu na juhudi za makusudi za mwami za kupigania demokrasia ya kweli.kumbuka umoja ni nguvu na sisi tulio nje ya act tunajitahidi kuwapa ushirikiano lkn bado kuna mtu mmoja anaitwa Doto anatuangusha sana wapinzani
 
Mkuu mcubic hilo ni neno lenye maana lkn lazima ujue kuwa ndani ya act bado mna watu wanao jaribu kudhoofisha nguvu na juhudi za makusudi za mwami za kupigania demokrasia ya kweli.kumbuka umoja ni nguvu na sisi tulio nje ya act tunajitahidi kuwapa ushirikiano lkn bado kuna mtu mmoja anaitwa Doto anatuangusha sana wapinzani
Bado ana hasira ya jinsi mlivyomtoa baruti mwami, atarudi kundini, maana kwa sasa hatuna ahueni, kama vile siye si watanzania.
 
Back
Top Bottom