Fredrick Sumaye

Status
Not open for further replies.

Baba Watoto

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
393
278
Jamani naweza kuwa ni Mtanzania wa kwanza wa kutokufuatilia historia ya viongozi wetu, hivi ndugu Fredrick Sumaye yupo kweli?

Sijamsikia kwa muda mrefu sana, hana mbio za uraisi au yeye ni waziri mkuu wa awamu ya tano?
 
Jamani naweza kuwa ni Mtanzania wa kwanza wa kutokufuatilia historia ya viongozi wetu, hivi ndugu Fredrick Sumaye yupo kweli? Sijamsikia kwa muda mrefu sana, hana mbio za uraisi au yeye ni waziri mkuu wa awamu ya tano?

Ww utakuwa siyo mfuatiliaji wa habari kwenye nchi yako, yupo na anagombea uko kwao hanang kwenye chama chao hicho kinacho jikongoja
 
Jamani naweza kuwa ni Mtanzania wa kwanza wa kutokufuatilia historia ya viongozi wetu, hivi ndugu Fredrick Sumaye yupo kweli? Sijamsikia kwa muda mrefu sana, hana mbio za uraisi au yeye ni waziri mkuu wa awamu ya tano?

jamaa yupo kwenye maficho kwani ni gaidi la ufisadi!
 
Huyo bwana ni mtu makini sana na waziri mkuu wa kihistoria. Kagonga awamu zote za Mkapa (miaka 10).

Hajasema kama atagombea urais ni speculations za woga tu. Dr Slaa huyu ndiye kiboko yake, anamjua tangu wakiwa watoto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom