Mambo vp mzee wa derivative of y w.r.t x? Naona umeanza kuwadifferetiate.
Safi tu mkuu,nadifferentiate kidogo tu
Mambo vp mzee wa derivative of y w.r.t x? Naona umeanza kuwadifferetiate.
Sasa kwa nini usiamue tu kuchangia kwa kingereza mwanzo mwisho kama Fang?
Safi tu mkuu,nadifferentiate kidogo tu
hahahha what you say???it done yes...lol
ngoja nihame thread nisije kuitwa chizi hapa maskani.
hapa nilipo niko peke yangu na umenifanya nicheke mpaka natokwa na machozi, hii thread mods, wangeihamishia kwenye jukwaa la jokes & gossips!
Sawa mkuu, bila shaka unatumia first principle of dy/dx inayosema:
if y=f(x) then
f'(x)=(f(x+h)-f(x))/h
lim h-->0,
cna hakika hua naiona tu mkuu.
Sasa kwa nini usiamue tu kuchangia kwa kingereza mwanzo mwisho kama Fang?
limit exist if and only if f(x) is finate and continous or otherwise piecewise continous along its domain-mfano wa technical english.
huwezi kuwa serious kwa kweli.......
Watu tunavunja mayai wewe unasema tuwekwe kwenye utani....
Siamini......
Basi ndio maana. I've never seen him akichangia kwa kiswahili yule!mwali mie najua fang ni Muingilish?kumbe....