Fortune Tellers, wapiga ramli

Feb 6, 2024
40
50
Fortune tellers ( wapiga ramli)

" Fortune tellers kilikuwa ni kikundi cha watoto wawili wakike na wakiume " ambao walikuwa wanashirikiana na kundi la X plastaz kufanya Muziki Enzi hizo kutokea mkoani Arusha . Watoto hawa walifanya vyema sana hizo
Kwa kuing'arisha bendera ya Taifa hili la Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania..

Maana style of singing ilikuwa kiculture zaidi ( hip hop traditional culture) waliimba kimasai ..

Fortune tellers tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili tunaita " wapiga ramli"

"Kwa mtazamo wangu maybe walikuwa wanapiga ramli kwenye Game ya Hip hop Bongo Enzi hizo )

Ni mtazamo tu jamani.

( " Ukwaju wa kitambo" nimefanikiwa kumpata mmoja Kati yao namaanisha steve)

Nitapiga nae story kuhusu haya na yale lakini kubwa zaidi je? Walipata wapi? Ujasiri wakufanya Muziki Enzi hizo angali wakiwa wadogo..

# funguka.

Je? Una tamani kufahamu nini kuhusu kundi hilo la Hip hop " fortunate tellers"

#usikose .

Nichek +255767542202/ 255784486100

Am out
( Katika picha ni member wa kwanza unit " kbc" akihost kama radio presenter kwenye kituo cha radio " clouds fm" akiwa anawafanyia interview wasanii wa kundi la "fortunate tellers" )

Clip katika hip hop halisi decomentary
FB_IMG_1709979053860.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom