Forgiveness..?

Tumeubwa tofauti,mpaka mwanaumke akupe penzi kakupenda achili mbali hawa machangu....ila kwa swala la mahusiano makini...ndio maana hata katika maamuzi mengi chumbani mwanaume anakuwa ndio wa mwisho...hata mwanamke awe na uwezo gani...akisha ridhia kufanya mapenzi unaweza fanya lolote....ndio maana unashangaa wakati mwingine hata wanafanya chini,kwenye majani....

Tofauti na wanaume,tamaa mara kwa mara huwa inaogoza na wala si mapenzi...ndio maana unaweza kuta linawanaweke lukuki lakini mkewe akitaka kulipiga chini tu linakuwa kama limemwagiwa maji.Kwa huyo ndio lililo mpenda hao wengine pengine hata busu hawajahi pata zaidi ya kutumika kama chombo cha starehe....

Vingine mke akisha olewa na mume kuna heshima flani inaongezeka sio kama hawala,au demu...kuna pigo unaacha kumfanyia kabisa...unaenda practise nje...kumhurumia...
 
.......... na hata mwanaume akiamua kukusamehe atakusamehe kinafiki tu mkikwaruzana kidogo utaambiwa"ndio mana uli......." haa, wao ni atarudi home atakumbembeleza hapooo weee ......

Wanaume halisi hawana maneno mengi akishadecide kitu basi anasahau. Kama amesamehe basi yameisha kweli may be siku chache kitakuwa kinamkera ila basi anasahau. Loh! Hawa wanawake wakikusamehe wanakaa kimya immediately ila hata baada ya miaka kumi bado analo kichwani na kukiwa na kutokuelewana basi utapashwa utadhani vile computer imesave hizo data.

Ndio unaona akina bibi wanapenda sana kutoa hadisi kwa wajukuu. Vile ulivyosimuliwa hadisi ulipokuwa mdogo itakuwa replayed kwa mwanayo pia.
 
Last edited:
Hata mababu wanatoa hadithi - ila wanaume ni sawa na JOGOO - angalia anavyokandamiza kuku - hata kama wako kumi kwenye zizi wote wake - ole aje jogoo mwingine - vita ya kutoana damu - WOMEN ARE GOD-MADE SOFT, KIND, LOVELY, FORGIVING CREATURES - ndio maana wakipenda ni wepesi kusamehe - MEN - are different - HARD, UNFORGIVING, CRUEL - CAN EVEN KILL BECAUSE OF WIVU - na sio kwenye kufumaniwa tu - NJEMA LAWEZA MTELEKEZA MKEWE FOR YEARS - ANAKWENDA KWA VIMADA (NYUMBA NDOGO) MAMBO YAKIHARIBIKA HATA KAUGUA SANA, KAFILISIWA ANARUDI KWA MKEWE NA ANAMPOKEA, ANAMUUGUZA NA KUMPA HESHIMA - JE HAMJAONA NA KUSIKIA HAYO???? HUO NI UTASHI SPECIAL ALIOUMBWA NAO MWANAMKE - TUMSHUKURU MUNGU KWA MAMA ZETU NA DADA ZETU NA BIBI ZETU.
 
Back
Top Bottom