Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Training kwa siku ni masaa mangapi? Kuna uwezekano wa kufanya jioni ya saa 12 badala kuanza mchana ili maudhurio yawe mengi hata kwa waajiriwa.
 
Group mbili-
Group 1 Asubuhi Saa 4- mpaka Saa 6 mchana
Group 2 Jioni Saa 10 mpaka Saa 12 Jioni
 
wadau wa HIGHLAND ZONE a.k.a SOUTHERNERS ada zinatiririka kule kwa fujo bado wiki moja tu. tuliamshe dude
tell a friend to tell a friend its about to go down!!
[HASHTAG]#for[/HASHTAG] no reason#
 
6cac30716f931a171bd251d8a368157a.jpg

Melo na Jamii forum kwa hili la The Bold mnamuonea, Mbona Ontario hafungiwi
Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Naila one, A moment ago.

Thread Tools
Unwatch Thread
N
Naila one Member
#1
A moment ago

Joined:Oct 4, 2017
Messages:18
Likes Received:22
Trophy Points:5
Kijana mmempiga Ban ya karibia miezi sita sasa. kosa lake lipi kubwa humu. kutangangaza forum yake ya kusoma story za intelligence. Kama ni kosa sawa, mmeshampa adhabu..mbona hamfungulii. wengi sana tulikuwa tunapenda habari zake.

Melo mi nadhani hauchezi fair aisee. Mbn Ontario anatangaza biashara zake kwa kukutumia jamii forum....( au kuna dizaini flani au siyo)..semeni kama wengine hatufai humu..)

Jamii forum imekuwa kubwa kwasababu ya sisi..wengine tumeanza 2009 humu..sahau kuhusu hizi akaunti mpya mpya tunazotumia zingine..ni kwa usalama tu..mabomu tunayotuma humu balaa na tunaogopa Noah ya Roma..

Hamfanyii fair The bold..siyo ungwana kabsa huo..jukwaa lile now limepoa sana. tunalilia humu uongoz wa magu siyo wa demokrasia lakini nyie wenyewe hamko fair kabsa. najua uzi huu mtafuta lakini sms imefika maana na nyinyi siku hizi mnakili kama za mange kimambi mkisemwa kidogo tu ban na kufuta uzi za watu...?? mkiufuta huu uzi..ntauleta tena kivingine.

KAKA WA TAIFA AMETABSAMU LEO kutokea Nairobi, Mungu Mkubwa sana.

Melo bring back the bold:

twendezetu na the bold..
 
Acha utoto kumfananisha Ontario na vitu vya kijinga, PUMBAF@
 
Yeah. Nimequi kuendelea ongea na jamaa,naona wapo exited.Halafu wanachukulia km nawapangia hela zao.
Hizi issue za forex hazijakaa vizuri sana... Ila kinachoshangaza ni jinsi buying training package inavyokuwa pushed.. Inaonekana kama lengo ni kuuza package na siyo training yenyewe.. Kama ni training inatakiwa ijitegemee na isingekuwa na haya kuendelea kuchangia kila mwezi kiasi cha hela..

Kama sijakosea ni MLM ya training , lakini wanatumia bait ya forex kupata watu.
 
Ndugu newazz sijakuelewa kununua training package ya kuendelea ni kina nani hao? From my understanding unalipia training wajifunza na baada ya hapo hakuna malipo ya ziada.Itakuwa labda umeona matapeli wengine BUT for TMT nope pay 130K for training itakupa gateway 6months mentorship.
 
Back
Top Bottom