Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Mimi na trade futures, basically using technical, fundamentals and events to predict price movements. Futures zinaweza kubashiri bei za currencies, commodities na indices. Dow Jones Industrial Average ni index.

Scalping ni kuchukua profits ndogo kwa haraka bila kusubiri full maturity, advantage ni kwamba unapoamua ku exist unajua umepata kiasi gani na umeridhika nacho, na trade ikianza ku recede unakuwa ushatoka, disadvantage ni kwamba ukifanya sana scalping unaacha hela mezani.

For more see Scalping: Small Quick Profits Can Add Up
Kitu ambacho bado sijakuelewa ni kuhusu Dowjones, je na yenyewe ipo kwenye forex market au ni aina nyingine Maana nimekua nikiona Dowjones pamoja na nasdaq Ila sielewi kua hayo madude ni nn
 
Nawatafta wa mwanza, bahati mbaya nimekuwa offline, sikujua kama mwanza ilikuwa tar 9-13. Nitatafta ya Simiyu, au ukienda Bunda mwana wasu nishutue
 
Forgetful Kenyans : Pyramid Schemes




Antonio MascaroVillage Elder

One Trait that unites us Kenyans is our forgetful nature. Am not sure if its just that we forget ama we ignore.
Remember that cop (kirui) who killed a guy in Kisumu during PEV and emotions ran high kukakua fire like this ? I suspect anakula mshahara yake mosmos from an undisclosed location.
Tubaki hapo 2007, kumbuka position ya Ruto in the politics of that time na sai. You have to forget / ignore a lot for the current setup to materialize. The Guy was more radical than Rao man. Nikikumbuka Kalonzo kupitia katikati yao, man, you need selective amnesia to crack a coalition between him and Rao.


Pyramid Schemes

Politics aside, Pyramid Schemes. A few months after the collapse of DECI, Some Tanzanian friend of my mum's alikua anamshow kuhusu a chama where you invest 10 k and in 3 weeks unapata 18,000. So mathe thought it would be a good idea. But she had to ask for opinions. A certain uncle akamshow to it would make more sense if she took her 10k to some pricey restaurant and enjoyed some lunch with it. She ignored the call by her TZ'an friend. 4 months down the line, the Tanzanian Lady lost 60k.

These schemes often morph and come back in forms that you need some analytical capabilities to figure out its nature as a pyramid scheme.

* Like those guys who tell you, "Imagine with 25 k you can own a plot in Joska!". So you take your 25k and are shown a place. But unaambiwa plot is worth 500k, its yours but you can only start developing once your installments get to a certain percentage of the total cost. During your installments submission, the older members are moving into their plots and you get hopeful. But the plots are paid for by money submitted by the growing base of newer members. So you introduce your cousins, business partners, neighbors...In no time the Scheme is raking in millions a month. Then Poof, Ofisi hakuna, walihama, registry of societies hawatambui hio jina....

* Then there is the classical Pyramid scheme. Leta 5k, come after 2 weeks utapata 8k. Ukingoja zaidi, 6 weeks, utapata 12k. So you say, whatever they sell i dont care, naweka 50 k na niwapee 6 weeks. Poof, 50 gone.



Lifestyle Products "Business"

To a degree, I find "Lifestyle products" kama Tienshi, GNLD...companies as pyramid schemes if you look into it. Come with 8k for initial stock, You sell products at 150% of the prices we sell you at come back for more, 2 years down the line "You will be a rich, Silver Manager". Just like these "Managers" here among us who now afford quarterly vacation trips to Seychelles and other Tropical islands. And build a network of referees to whom you will be selling stock. Yaani, wewe si business man. Wewe ni customer yao. Na wewe ndio utawaletea customer wengine. A friend of mine aliingia Forever living, his first stock ya "Healthy Tea" alikunywa mwenyewe. Na waliingia na sistake who had also purchased a 16k worth of starting stock ya skin care products. Utajipaka hio makadamia tropicanus hadi umalize.



BULLISH TRADE
So they took it to the interwebs.
Oh man, this one here, they got a lot in this one. They lied to guys ati you are doing forex Trade. Guys didn't know what was being bought or sold. The most important thing was, Weka pesa, pata 150 % of the amount after 2 weeks. Man, didn't Kenyans join. And for every refferal you make, the moment the referral ameweka deposit ya kwanza, you get like 30 % or something of the deposit.
It didn't make sense to me at the time how this worked and I knew it was a scam based on pyramid scheme principles. So an "Expert" told me about HYIPS (High Income Yielding Investment programs..or something like that). That they are basically pyramid schemes that you can join, make some quick cash and exit in time if you are a smart one. Make sure you leave before they collapse with investors' money. And that there are these monitors you can use to check the creation, lifetime, membership trends and more to ascertain whether you can get in or need to leave ASAP.
Shida ya Bullish Trade was, the payment process
Ningekuwa moderator ningekupiga ban unatusumbua na micomment yako mirefu unayokopi na kupest toka google
 
Kusoma vitabu ni muhimu ili uelewe vizuri,pia na hivyo vitabu si rahisi(inategemeana na kichwa cha MTU)
Nimesomasoma Forex bible! Likitabu ni likubwa kwelikweli! Pages 662! Kulisoma si tatizo! Tatizo ni kuhifadhi aya zote zile kichwani na kuzitumia moja baada ya
Nyingine! Bado kuna mavitabu mengine ambayo lazima uyasome yote!
 
Nimesomasoma Forex bible! Likitabu ni likubwa kwelikweli! Pages 662! Kulisoma si tatizo! Tatizo ni kuhifadhi aya zote zile kichwani na kuzitumia moja baada ya
Nyingine! Bado kuna mavitabu mengine ambayo lazima uyasome yote!
Si lazima ufahamu kila kitu, binafsi hicho nimesoma mwisho kwenye candlesticks(japo nitakimalizia) , nikaja naked forex.
Ukifanya practice ktk demo utajifunza zaidi
binafsi nilianza kuelewa vizuri baada ya training ,pia nilivyoingia live ile wiki nzima ya la live tradinh ilinifundisha sana kuliko hata ambavyo ningesoma vitabu 5 vya forex
Japo bado sijawa mahiri Ila niliweza double acc kwa wiki 2,hasara pia zipo,umakini na kujifunza kutokana na makosa unasaidia kukuimarisha zaidi
 
Kitu ambacho bado sijakuelewa ni kuhusu Dowjones, je na yenyewe ipo kwenye forex market au ni aina nyingine Maana nimekua nikiona Dowjones pamoja na nasdaq Ila sielewi kua hayo madude ni nn
Dow Jones ni index inayoangalia muenendo wa hisa 30 kubwa kubwa hususan za Marekani, ni average performance ya hizo hisa, zikipanda nayo inapanda, zikishuka nayo inashuka.

Futures trading ni kubashiri kwamba itapanda au itashuka kufika wapi katika muda gani.

Ukitabiri itapanda ukaweka hela zako $50 kwa mfano, na mwenzako akatabiri itashuka akaweka $50 zake, ikipanda wewe unakula hela zake na kuondoka na $100, ikishuka below uliposema, ikafika alipobashiri yeye, yeye anakula hela zako na kuondoka na $100. Kwa kila contract mnamlipa aliyewakutanisha (NADEX) $1 kuingia katika trade, mshindi atalipa tena $1 nyingine kutoka aliyeliwa halipi kutoka. Kwa mfanohuo hapo aliyeshinda ataondoka na $98 baada ya kulipa fee ya $2, aliyeshindwa atalipa $51, $50 kununua contract, na $1 fee ya kuingia kwenye contract.
 
Dow Jones ni index inayoangalia muenendo wa hisa 30 kubwa kubwa hususan za Marekani,ni average performance ya hizohisa, zikipanda nayo inapanda, zikishukanayo inashuka.

Futures trading ni kubashiri kwamba itapanda au itashuka kufika wapi katika muda gani.

Ukitabiri itapanda ukaweka hela zako $50 kwa mfano, na mwenzako akatabiri itashuka akaweka 450 zake, ikipanda wewe unakula hela zake na kuondoka na $100, ikishuka below uliposema, ikafikaalipobashiri yeye, yeye anakula hela zako na kuondoka na $100. Kwa kila contract mnamlipa aliyewakutanisha (NADEX) $1 kuingia katika trade, mshindi atalipa tena $1 nyingine kutoka aliyeliwa halipi kutoka. Kwa mfanohuo hapo aliyeshinda ataondoka na $98 baada ya kulipa fee ya $2, aliyeshindwa atalipa $51, $50 kununua contract, na $1 fee ya kuingia kwenye contract.
Binafsi nimekuelewa vyema sana mkuu! Very good narration!
 
Dow Jones ni index inayoangalia muenendo wa hisa 30 kubwa kubwa hususan za Marekani, ni average performance ya hizo hisa, zikipanda nayo inapanda, zikishuka nayo inashuka.

Futures trading ni kubashiri kwamba itapanda au itashuka kufika wapi katika muda gani.

Ukitabiri itapanda ukaweka hela zako $50 kwa mfano, na mwenzako akatabiri itashuka akaweka $50 zake, ikipanda wewe unakula hela zake na kuondoka na $100, ikishuka below uliposema, ikafika alipobashiri yeye, yeye anakula hela zako na kuondoka na $100. Kwa kila contract mnamlipa aliyewakutanisha (NADEX) $1 kuingia katika trade, mshindi atalipa tena $1 nyingine kutoka aliyeliwa halipi kutoka. Kwa mfanohuo hapo aliyeshinda ataondoka na $98 baada ya kulipa fee ya $2, aliyeshindwa atalipa $51, $50 kununua contract, na $1 fee ya kuingia kwenye contract.
Aiseeeeh Kwahio nataka naifahamu kama hio futures trading inafanyika hapa bongo au ni kwa US tu.
 
Aiseeeeh Kwahio nataka naifahamu kama hio futures trading inafanyika hapa bongo au ni kwa US tu.
Kila kitu mtandaoni, ukiwana broker/ exchange inayosajili watu wa bongo, utaweza kufanya.

Mimi sijafanya research ya bongo kwa sababu siko bongo.

Ila NADEX hawaruhusu watu wa bongo kujisajili live account, demo account unaweza kufungua bila kutaja hata nchi uliyopo.
 
Kila kitu mtandaoni, ukiwana broker/ exchange inayosajili watu wa bongo, utaweza kufanya.

Mimi sijafanya research ya bongo kwa sababu siko bongo.

Ila NADEX hawaruhusu watu wa bongo kujisajili live account, demo account unaweza kufungua bila kutaja hata nchi uliyopo.
Kwaiyo mkuu biashara unaifahamu vizur kabsa
 
*Good News! Habari Njema!*

*MJI KASORO BAHARI*
*M O R O G O R O*

* *Forex Trading Training in MOROGORO*

Wengi mlisema Morogoro mmetengwa, tumewasikia. Tunawaletea Guru wa Forex Tanzania, Prophet Abraham Laizer!

Tangu tuanze safari zetu mikoani kwa ajili ya kufundisha watu biashara ya Forex, watu wengi sana wameshapata uzoefu na sasa wamefika mbali. Kwa course hii ya awali ( *foundation course)* tunaifanya sasa kwa mara ya mwisho mwisho na Morogoro imepata neema. Baada ya hapa, tutafanya seminars za *advanced Forex trading skills* nchi nzima.

Ndugu yangu na rafiki yangu, unayeishi maeneo ya *MOROGORO* na viunga vyake, na wewe unayeweza kufika MOROGORO kutokea mkoa ama wilaya yoyote, sasa ni zamu yako! Tumekuandalia darasa maalum la Forex la muda mfupi (short course) ambayo ni shule halisi ya Forex, real Forex Academy kwa muda wa Week moja.

*Comprehensive/Condensed One Week Forex Course!*

*Topics:*

1. *Forex Foundational Course*

2. *Capital & Risk Management Skills*

3. *Market Analysis for Beginners:*
a) *Candlesticks Analysis*
b) *Trend Analysis*
c) *Trading Ranges*
d) *True Support & Resistance Levels*
e) *False and True Break-Outs*
f) *Mastering Price Action*

4. *Developing Trading Strategy*

5. *Developing Forex Objectives and Plan.*

*Mahali:* (Tutawajulisha haraka iwezekanavyo)
*Muda:* (Tutapanga pamoja~wanaseminar)

*Tarehe*: 23 -- 27/10/2017

*Instructor:*
Prophet *Abraham Laizer,*
from Dar es Salaam akisaidiwa na *Jovin Tongora* kutoka Dodoma.

*Organizer wa shule hii ni*
*Mr. Jovin Tongora:*
+255755317350 na
*Mr. Ezra Elijah*
+255788137830

*Wasifu wa Mwalimu:*

Prophet Abraham Laizer *ndiye Mwanzilishi wa Madarasa ya "Forex Trading Trainings & Mentorship" Tanzania! Introducing Forex to Hundreds of Tanzanians!*

Amekuwa Mwalimu wa Walimu wengi wanaofundisha sasa Forex Tanzania.

Amekuwa Mentor wa Forex Success Stories nyingi Tanzania na Testimonies zinazomshudia zimetapakaa kote!

Ni Forex Trainer & Mentor pekee Tanzania anayejiamini kiasi cha Kukupa Guarantee ya kukurudushia Ada yako baada ya Training, endapo utakuwa hujapata ulichokitarajia. Uzoefu unaonyesha, toka alipoanza kufundisha, watu wanapomaliza Training, hutamani kuongeza malipo badala ya kurudishiwa!

Prophet Abraham Laizer mwenyewe hupenda kusema, " _Jiamini! I give you Classic, 1st Class Forex Education ambayo, mimi nimelipia 2,400 a week kufundishwa na MTI"_ Anafananisha wanaokuja kusoma kwake na Mwanafunzi anayeamua kwenda kusoma Chuo Kikuu Cambridge, Oxford au Havard na kulipa ada zaidi ya mil.100 kwa mwaka wakati kuna UDSM unayolipia mil 1 tu kwa mwaka!

Sisi kama Organizers, tumefanya kazi kubwa kumshawishi akubali kuja Morogoro kwa ajili yako!

Prophet Laizer atafanya trades zake Live darasani during Trainings na utaweza kuTrade naye. Hivyo utatoka hapo na faida isiyopungua *$100* ulizozitengeneza mwenyewe endapo utafuatana nasi wakati wa *kuTrade* live.

Rafiki yangu, njoo upate elimu. Njoo ujifunze biashara inayoongoza zaidi duniani yenye mzunguko wa *$5.3 trillion* kila siku kutoka kwa mwalimu mahiri sana na ambaye amesaidia watu wengi hapa Tanzania katika kuifahamu Forex. Guru wa Forex Tanzania, Abraham Laizer.

Njoo wewe, na rafiki yako na kwa awamu hii ya kwanza, darasa litahusu watu wachache tu (wasiozidi 30) ili tuweze kuhudumiana vyema na kwa ufanisi.

Kama upo tayari, tafadhali tuwasiliane kuanzia *leo* kwa ajili ya Registration ili ku~reserve nafasi yako. Kumbuka watu 30 wa kwanza ndio watakaopata nafasi ya kuandikishwa.!

*0755317350 whatsap/calls*

*Malipo $100 TU kwa Course Nzima + *Mentorship.* Malipo yote yafanyikie bank tafadhali:

Bank: EQUITY BANK
Account Name: ABRAHAM MWIMO LAIZER
Account (TZS) No: 3007111179385
Account (USD) No: 3007111370003

Tunashauri deposits zote zifanyikie account ya USD. Lakini kama una~deposit kupitia simu, ndipo tu unaweza kutuma kwa account ya TZS. Rate ya leo Equity: 1USD = 2319.74 TZS (zingatia rate YA BANK siku unayolipa tafadhali).

Kama ukihudhuria seminar hii na mwisho wa seminar ukafika haujaelewa, haujaijua Forex na namna ya kutrade na wala hujafaidika, *UTARUDISHIWA $100 YAKO!*

Karibu sana Morogoro
*Mji kasoro bahari.*

With Pips love,
_Jovin Tongora_
&
_Ezra Elijah_
 
Reader falls victim to Profit Trading forex schemeMaya Fisher-French2017-05-30 09:25


Des wrote to City Press after being allegedly defrauded by forex trading company Profit Trading, a business that claimed to invest clients’ money into an automated forex trading system. The company appears to have closed down, with the founder unreachable and investors unable to access their funds. Maya Fisher-French investigates

"I am one of those investors who had taken every little cent I had and invested it with him. I was living off this investment and now that I am not receiving withdrawals, I have since lost my house, my car and a very lucrative logistic deal because of the lack of income," says Des.

An investigation by City Press found that the company founded by Myles Ndlovu in 2014 had its licence revoked by the Financial Services Board (FSB) in September last year after complaints from investors. The FSB told City Press it had handed the case over to the South African Police Service for investigation.

Complaints have started appearing on HelloPeter.com with one investor writing: “When Profit Trading started a few years ago it managed to fake enough about having automated forex trading software to obtain an FSB licence to continue with their operations.

“Multitudes flocked in with the trust that it has been licensed and constant adverts from radio stations pushed most people to be convinced of its validity.

“Now Profit Trading has closed its offices in Sandton, no lines are working and its workers have disappeared. People invested millions due to trusting that it was legitimate. It had branches all over the country and I think people have not realised that they are gone”
Sasa huo utapeli ni wa forex au kampuni ya mtu??

Huoni hapo utapeli umefanywa na kampuni na sio forex?

Jitahidini muwe mnasoma hata kilichoandikwa na sio uchoshe watu kusoma vitu visivyo na msingi!
 
Back
Top Bottom