Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Make kutwa nzima kusifia hapa. Mwanaume kamili unashinda kusifia wanaume wenzako?

Mimi sishindani na mtu na sisifii mtu najisifia mwenyewe na sihitaji kusifiwa na mtu pia.

Na wewe acha ujinga wako we mbona kila siku na karibu muda wote unamsifia BWANA YESU? Kwani BWANA YESU si ni Mwanaume ama?
 
Mpuuzi kweli wewe mtoto sina muda sana wa kubishana na upuuzi wenu.Nilichokuwa nataka watahadharisha biashara ya pesa za watu nchini lazima uwe na Leseni ya BOT na uwe umeweka dhamna nono,ili watu wakiumizwa ulipe bob.

Wewe si umekisoma hicho kitabu na kukielewa ?Mbona huna majibu hapa?Unavibrate tuu .Siwashangai wabongo,hata baba zenu wakiona hela uwa wanasema mkataba upo safi kwa maslahi ya taifa.

MUDA MREFU HAPA VIJANA WOTE MPO VERY SHALLOW ILA MNAJIONA MPO FRESH SANA. MNANIAMBIA NISOME KITABU CHA FOREX KUHALALISHA UPATU KTK FOREX NANI KAKUAMBIA NITAKUTA HUKO HUU UPATU? NI KM GAIDI ANIAMBIE NIKASOME KITABU CHA JESHI NI NINI ILI NIONE KUWA GAIDI NI MTU HALALI.JUST BECUASE NA WAO WANATUMIA MBINU ZA KIJESHI.
Daah unatumia nguvu nyingi sana mkuu. Tatizo hauna pointi ndo maana hueleweki. Pia uelewe humu hakuna mtoto asiyejua kile anachokifanya kama mtu anapoteza pesa si ni zake na kama anaona kuna faida baada ya kuasess risk zote si ni yeye. Nakushauri bure uliyokwisha andika yanatosha Kikwete aliwai sema za kuambiwa changanya na zako.
 
Mi bado sijaelewa hao watu mnapata wapi mda wa kujibishana nao yani pesa zako akupangie sehemu ya ku invest kama ni scam kaa pembeni acha watu waliwe pesa zao.... Mnajaza thread tu.
 
Mi bado sijaelewa hao watu mnapata wapi mda wa kujibishana nao yani pesa zako akupangie sehemu ya ku invest kama ni scam kaa pembeni acha watu waliwe pesa zao.... Mnajaza thread tu.
mi mwenyewe nashangaa kama mtu anaamini forex ni scam au upatu wacha ni kuachana nae hatuwezi watu wote kulingana mawazo na imani ndio maana kuna dini na vyama vya siasa tofauti wote wanatofautiana imani na mawazo.....
 
Jamani mimi leo nimewithdraw sh 565,000/- leo tena hela imetumwa kwenye acc ya fnb usd 750. Kesho nadraw na kufanya yangu. Sina nia ya kuongopea mtu. Just imagine 2m. Na akaunti yangu ya forex ina zaidi ya 2m.

Trust me, forex pays. Ila sio ya kuvamia kichwa kichwa. Inahitaji kuielewa.
 
Hongera kamanda...wafa maji waendelee kutapatapa
 
96590e1c160558c35691d8a0066c479a.jpg

We grow bank Account
 
Mkuu, na mi nimeona niunge tela! Swali langu ni kwamba, huwa mnatumia masoko gani ku-trade?

Mkuu ni vizuri ukasoma angalau upate basic knowledge ya forex, pitia uzi wa kwanza wa Ontario upo hapahapa kwenye jukwaa la biashara.
 
Back
Top Bottom