Football live – uefa supercup

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
INTER VS ATLATICO MADRID
Broadcast date: Friday 27th August, 2010 @ 21h40 on MBC 3 kwa wale wenye GTV DECODER inapatikana
[SIZE=+1]Eutelsat W3A [/SIZE] [SIZE=+1]@ 7° East[/SIZE] freq 11192 V - SR 3210 1/2
 
mnhhh...mkuu mie kama sikumbuki vibaya nadhani hawa GTV walifilisika na kula kona zamani tuu na kutuachia mi-decoder yao ipo sebuleni hata pa kuipeleka tusijue...au wewe mwenzetu upo wapi huko wanakotoa huduma za gtv...mie nipo hapa dsm tanzania
 
Sio GTV wanaonyesha katika ile DECODER ya GTV kuna FTA TV zinapatikana kama ukisearch ndio ipo hiyo stesheni ya MBC3 kama ujaligeuza dishi lako search utapata FTA TV
mnhhh...mkuu mie kama sikumbuki vibaya nadhani hawa GTV walifilisika na kula kona zamani tuu na kutuachia mi-decoder yao ipo sebuleni hata pa kuipeleka tusijue...au wewe mwenzetu upo wapi huko wanakotoa huduma za gtv...mie nipo hapa dsm tanzania
 
mkuu ni-search hapahapa dsm ... kwa kutumia zile decoder mfu za gtv?...au mzee wewe genious wa mambo ya mawasiliano?...sie wengine wauza maneno elektronix hatuzijui banaaaaa
 
Hapa hapa DAR ES SALAAM tafuta mafundi wa madishi watakusetia kama bado unalo lile dish na DECODER utapata kama stesheni 10 hivi za FREE TO AIR (FTA)
mkuu ni-search hapahapa dsm ... kwa kutumia zile decoder mfu za gtv?...au mzee wewe genious wa mambo ya mawasiliano?...sie wengine wauza maneno elektronix hatuzijui banaaaaa
 
...mnh, ajabu thread hii imepoteza wachangiaji, au kwakuwa Mourinho hayupo tena Inter Milan?
Dakika ya 65...

Inter Milan 0 - 1 Atletico Madrid

I bet Mourinho anamuombea mabaya tu hasimu wake Mkubwa Benitez!

Mourinho said: "Benitez will not have to work as hard as I did because in one month he has the chance to win three trophies, the Italian Super Cup, the European Super Cup and the Club World Cup. It's heaven for him.
“A Coach who arrives at a new club usually has to build a team. While Benitez finds everything ready, the club and the players.”

Jose Antonio Reyes ndio mfungaji.
 
Kumbe hiyo ATL ndo Athletico Madrid, thikujua mana nimekuta mechi imeshaanza!! mweeh, Inter watarudisha kweli?!!!!
 
Kumbe hiyo ATL ndo Athletico Madrid, thikujua mana nimekuta mechi imeshaanza!! mweeh, Inter watarudisha kweli?!!!!

Thubutuuuu,....

weshatandikwa cha pili.
Benitez kaiharibu defence ya Inter.

Inter Milan 0 - 2 Atletico Madrid
 
...mnh, miti nayo ishaanza kuteleza.
Dakika ya 89 Inter Milan wamekosa penalti!....
 
...It is all over.

Atletico Madrid ndio Mabingwa wa Super Cup ndani ya Barnebau

I recall hawa Atletico Madrid ndio waliowatoa Liverpool kwenye EUROPA CUP
Benitez Gundu hilo!
 
...It is all over.

Atletico Madrid ndio Mabingwa wa Super Cup ndani ya Barnebau

I recall hawa Atletico Madrid ndio waliowatoa Liverpool kwenye EUROPA CUP
Benitez Gundu hilo!
Benitez tai kama mchungaji Mtik.... misimu miwili iliyopita ktk uefa champs league alitoka 1-1 home and away alipokuwa na liverpool,tena liverpool kwao wanasawazisha kwa penati ya kizushi ktk dk za majeruhi kipindi cha pili stevie gerard,wakati huo maxi rodriguez aliwapiga bao sawa dk ya 6 akiwa na atletico madrid,sema torres hana bahati ya kucheza vs timu yake hiyo ya zamani ,mana hata msimu ulioisha ktk uefa europa cup alikosa mechi zote 2 pia,forlan aliwapiga bao dk za nyongeza 30,forlan mbaya wa kuwafunga mabao liverpool toka yupo man utd,na barcelona pia,kama drogba na rooney kwa arsenal,torres vs man utd,tevez na saha vs chelsea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom