Fomu kwa wale wambao wanataka ukarani kwenye sensa ikiwemo waliomaliza chuo lakini hawana ajira

jaman,kuna umuhimu wa kucertify vyeti kweli? Kwa ce ambao 2nangojea ajira? Cuz hapo kwa maelekezo yao hawajasema direct!
 
Last edited by a moderator:
Duh!!hizi taarifa hazijawafikia hata ma DC ambao ndo wenyeviti wa kamati ya sensa,mi nimepeleka wamekataa kuipokea kisa hawajapewa maelekezo!!!
 
Jamani nina wasiwasi na hilo Tangazo liloletwa hap JF kuhusu kibarua cha sensa hasa ukizingatia kama limetegenezwa tu na mtu akalituma kwa njia ya PDF. hivi uliona wapi Tangazo la Selikari halina Nembo ya Taifa i mean Ngao ya bibi na Bwana??? Tangazo tena muhimu la sensa halijaanisha limetuma na chombo gani husika cha selikari! nina dout huu unaweza ukawa uhuni au mtu amelichukua sehemu na kulikocopy kabla halijakamilika na kulileta hapa JF. nawaomba mlichunguze wana JF kwa makini na hizo fomu zenyewe ziko vague. Hapa tusije tukawa tunatapeliwa kiaina. Nawasilisha
 
Mkuu hata mimi nashindwa kuelewa mana kila nikichek in website ya sensa Tangazo lipo but ukilifungua halina kitu.Tuweke waz mkuu ulikolitoa may be me nimeshindwa fungua nipo hewani now.
 
Marsy,mbona tangazo linafunguka!!Hii ni kweli kabisa nafasi hizo zipo,tatizo huku wilayani hawajapewa maelekezo yoyote,mi nimepeleka fomu wamekataa kuzipokea wakidai hadi wapewe maelekezo toka juu!!!hii kali sana
 
Last edited by a moderator:
jaman,kuna umuhimu wa kucertify vyeti kweli? Kwa ce ambao 2nangojea ajira? Cuz hapo kwa maelekezo yao hawajasema direct!

Ulihitimu vipi hiyo elimu ya level uliyofikia ikiwa utaki kufata instructions za wenye mahitaji,unataka kujitungia instructions zako na kuzifata?
 
Jamani nina wasiwasi na hilo Tangazo liloletwa hap JF kuhusu kibarua cha sensa hasa ukizingatia kama limetegenezwa tu na mtu akalituma kwa njia ya PDF. hivi uliona wapi Tangazo la Selikari halina Nembo ya Taifa i mean Ngao ya bibi na Bwana??? Tangazo tena muhimu la sensa halijaanisha limetuma na chombo gani husika cha selikari! nina dout huu unaweza ukawa uhuni au mtu amelichukua sehemu na kulikocopy kabla halijakamilika na kulileta hapa JF. nawaomba mlichunguze wana JF kwa makini na hizo fomu zenyewe ziko vague. Hapa tusije tukawa tunatapeliwa kiaina. Nawasilisha
ww acha kupotosha wenzako kwanza unaonekana ww siyo mfuatiliaji wa mambo, no research no right to speak, haya acha uvivu nenda National Bureau of Statistics Tanzania - NBS
 
Mkuu hata mimi nashindwa kuelewa mana kila nikichek in website ya sensa Tangazo lipo but ukilifungua halina kitu.Tuweke waz mkuu ulikolitoa may be me nimeshindwa fungua nipo hewani now.

mtafute mwenye ujuzi akujuze kuuliza s ujinga.
 
Cyo lazima ww, kama huamini achana nalo, ila jitahidi uwe unasikiliza hata redio kama TBC achana na vipind vya taarabu tu. Redioni wanatangaza sana
Jamani nina wasiwasi na hilo Tangazo liloletwa hap JF kuhusu kibarua cha sensa hasa ukizingatia kama limetegenezwa tu na mtu akalituma kwa njia ya PDF. hivi uliona wapi Tangazo la Selikari halina Nembo ya Taifa i mean Ngao ya bibi na Bwana??? Tangazo tena muhimu la sensa halijaanisha limetuma na chombo gani husika cha selikari! nina dout huu unaweza ukawa uhuni au mtu amelichukua sehemu na kulikocopy kabla halijakamilika na kulileta hapa JF. nawaomba mlichunguze wana JF kwa makini na hizo fomu zenyewe ziko vague. Hapa tusije tukawa tunatapeliwa kiaina. Nawasilisha
 
JaMANI INAKUAJE WATENDAJI HAWANA TAARIFA? sasa sisi TUPELEKE WAPI FORM? MANA HATA KUJAZA WAMEKATAA.

ALAFU KUNA WAKAKA NIMEWAKUTA KWA MTENDAJ WANATUJAZISHA FORM ZA NATIONAL ID, WANANIAMBIA "KAZI HIZO TUMESHAPEWA SISI" hapa nilipo nishachoka aiseee.
 
Mbona mwenyekiti wangu anazo taarifa na kasema nimpelekee ila hawa jama kama wa kwenu inabidi kuadabishwa tupeleke malalamiko kwa mwenyekiti wao na magazetini ili wajue ufisadi unaoendelea
JaMANI INAKUAJE WATENDAJI HAWANA TAARIFA? sasa sisi TUPELEKE WAPI FORM? MANA HATA KUJAZA WAMEKATAA.

ALAFU KUNA WAKAKA NIMEWAKUTA KWA MTENDAJ WANATUJAZISHA FORM ZA NATIONAL ID, WANANIAMBIA "KAZI HIZO TUMESHAPEWA SISI" hapa nilipo nishachoka aiseee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom