Habari,
Hivi ni experience yangu tu ama ni wote?
Maana nimegundua kwa siku tano sasa roads za Dar zimepungua foleni, sijua wakazi wa mji huu wamepungua ama ni aje wadau!
Tujuzane KULIKONI!!!
King of Kings,
si unajua sisi walowezi? Kwetu ni Tanganyika kuleee karibu ya mwisho wa reli ndo maana tunastaajabu KULIKONI hapa mjini kweupeeee?/
tuko Moshi, tusubiri kuanzia next week bana,