MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 714
- 1,137
Leo nimeonja radha ya mvua kwa kukaa hapa Mtanana karibu na Kibaigwa Kwa saa nne.
Nimeshuhudia foleni kubwa sana ya malori na mabasi huku abiria wakiwa hawana cha kufanya. Hii barabara ya Dodoma to Dar inahitaji jicho la ziada kwani unabeba uchumi wa taifa letu.
Barabara hii kufungwa kwa zaidi ya saa Tano ni hasara kubwa sana kwani zaidi ya robo ya Watanzania wanaishi mikoa ya Kanda za ziwa na mikoa kama Kigoma, Kagera, Tabora na Singida.
Lakini pia barabara hii inategemewa sana na nchi kama DR Kongo hasa mashariki, Rwanda, Burudi, Uganda na Sudan kusini.
Kusema kweli leo Chain supply imeathirika Kwa kiwango kikubwa.
Sijui Leo viongozi wanaotoka Mashariki na Kusini wanaotumia barabara hii wakifika hapa watafanyaje.
Hizi mvua za mwaka huu zimeleta Neema na balaa kubwa kwa kiasi chake.
Toka saa 11 Alfajir hakuna gari kukatika hapa kwenda upamde wowote.