Fm academia kutua london?

kwani hizo letters MK stood for what?

- Martin Kasyanju na Msilwa Baraka = M for Msilwa na K for Kasyanju = MK Group.

- Nimeongea naye sasa hivi, anasema kwamba mwanzoni ubalozi wa Uk, walikataa lakini mfadhili wa safari yao wa kutoka huko Uk, alikata rufaa kwa ubalozi sasa wamembiwa wajaze tena na next week watapewa, kwa hiyo amesema kwamba tarehe za kuja na kupiga huenda zikabadilika.

Lakini they are coming.

FMEs!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom