Hata waungwana wanaponawa huanza usoni!
Hii safi sana, nadhani hii ndoto itatimia.
Wako watu wanatamani vitu kama hivi visitokee waendelee kupata porojo za kuongea majukwaani!
Hongera kwa mafuriko na madimbwi?Hongera sana Waziri Magufuri ni mpango mzuri wa kuondoa foleni kwenye Jiji letu la Dar es Salaam, naona kazi zinafanyika ukipita barabara ya Morogoro unakutana na Strabag Kampuni kutoka Ujerumani wanatengeneza barabara za mabasi yaendayo kasi.
Mwaka kesho watasema, 'upembuzi yakinifu umekalimilika na mchakato wa kumpata mkandarasi atakayejenga bado unaendele'
Du naona umeufufua huu uzi? 2012/2013 Alitengewa Budget ya FLY OVER TAZARA. Sasa ni 2015......