Flyover TAZARA Imetengewa Bajeti - Magufuli

Wadau,Serikali yetu sikivu, kupitia chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza nchi na wananchi weengi, imetangaza bungeni kupitia jemedali MAGUFURI kuwa pesa zimetengwa kwa ajili ya flyover Tazara.Tuiunge mkono serikali ya JK katika kutimiza ahadi.:israel:
A%20S%20465.gif
Hizo zinasubiri pesa za Wahisani. Budget haina maana kuna Cash. Na Hilo ndilo tatizo la nchi hii, mwaka utaisha na hakuna pesa zitakazotoka.Kumbuka kuwa Marekani mmeshawaudhi kwa kuweka Bendera kwenye Meli za Magaidi.Uingereza wanasubiri na wewe ukubali kuwa Shoga ndio wakupe msaada, Labda utuhaidi kwamba unakubaliana na masharti yao.
 
Namna ulivoandika ujumbe wako inaonekana bado jinamizi la kuiba kura linawaandama! Kila mara "serikali iliyopewa ridhaa na wananchi wengi! Ni kweli mmepewa ridhaa na wananchi wengi? Hata ukiweka swala la kuchakachua matokeo ya urasi pembeni, niambie waliojiandikisha kupiga kura walikuwa wangapi? Waliomchagua kiwete walikuwa wangapi? Unaweza bado ukasema serikali imechaguliwa na watanzania walio wengi? Mnaonekana bado mnajisikia guilty!
 
Wadau,

Serikali yetu sikivu, kupitia chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza nchi na wananchi weengi, imetangaza bungeni kupitia jemedali MAGUFURI kuwa pesa zimetengwa kwa ajili ya flyover Tazara.
Tuiunge mkono serikali ya JK katika kutimiza ahadi.:israel:
A%20S%20465.gif

Kwanza hii serikali si sikivu kwa sababu wananchi tumeshalalamika mambo mengi sana lakini imekaa kimya, na haikuwekwa madarakani na wananchi walio wengi.

BTW..hizo hela zimetengwa mwaka huu na zitatengwa mwakani alafu mwaka wa uchaguzi ndio mtaanza kujenga which means hela za mwaka huu na mwakani za huo ujenzi zitapelekwa kwenye account zenu huko swiss, uk na sehemu mbali mbali..msitudanganye tumeshaamka siku hizi
 
Mwaka kesho watasema, 'upembuzi yakinifu umekalimilika na mchakato wa kumpata mkandarasi atakayejenga bado unaendele'
 
Wadau,

Serikali yetu sikivu, kupitia chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza nchi na wananchi weengi, imetangaza bungeni kupitia jemedali MAGUFURI kuwa pesa zimetengwa kwa ajili ya flyover Tazara.
Tuiunge mkono serikali ya JK katika kutimiza ahadi.:israel:
A%20S%20465.gif

Kutengewa budget na kujengwa ni vitu viwili tofauti. Kwani ule bajaji/ pikipiki za kubeba wagojwa hazikutengewa budget? na zinafanya kazi?
 
Kwani katika jiji zima la Dar wameona junction ya Tazara tu. Vipi ubungo na junctions nyingine kibao zilizopo Dar na hata kwenye majiji mengine?

Hizo wamemuachia nani? Nafikiri wamewaachia chadema waje kuzifanya 2015. Na hiyo flyover ni lazima itajengwa chini ya kiwango maana fedha ni lazima ziliwe. Embu angalia Kilwa road jinsi ilivyooza na ni barabara ya juzi tu.

Ninaiambia serikali kwenda kujifunza kwa wakenya na Waethiopia. Sio kutuletea maendeleo ya "peremende danganya toto"

inaunganisha majimbo manne yanayoongozwa na wao
 
1. Kwamba Kigoma itakuwa ndo dubai ya Tanzania na watajengewa uwanja wa ndege wa kimataifa
{Terminal Three hapo dar Imeshakamiliki si unaona ma AirBus yanavyoshuka hapo}

2. Kwamba Ziwa victoria watanunuliwa meli kubwa mpya
{Meli Dar/zenji zimeshatosha kwani mkondo wa Numgwi ushasikia tena umelamba meli}?

3. Kwamba Folen Daslam itakuwa historia
{Kwani Ipo}?

4. Kwamba Mgao wa Umeme utakuwa Historia
{Kwani ushauona Mgao wewe kwenye awamu hii ya Ari na Kasi na Nguvu}?
.
.
.
.
.
.
na kadha wa kadha

Hapo kwenye Red mkuu umeniongezea machungu. Kweli Watu wa Kagera, Mwanza, Mara na Shinganya tukimchagua hata mbunge Mmoja kutoka CCM mwaka 2015 kweli tutakuwa hamnazo!!!
 
Hapo kwenye Red mkuu umeniongezea machungu. Kweli Watu wa Kagera, Mwanza, Mara na Shinganya tukimchagua hata mbunge Mmoja kutoka CCM mwaka 2015 kweli tutakuwa hamnazo!!!

Polen tupo kwenye hatua za mwisho za matengenezo ya meli yenu. itakuwa meli kubwa kabisa kabisa afrika mashariki na ya kati!
 
Wadau,

Serikali yetu sikivu, kupitia chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza nchi na wananchi weengi, imetangaza bungeni kupitia jemedali MAGUFURI kuwa pesa zimetengwa kwa ajili ya flyover Tazara.
Tuiunge mkono serikali ya JK katika kutimiza ahadi.:israel:
A%20S%20465.gif

Upuuzi mtupu. Wanafikiria panapohitaji kujengwa ni Dar tu.

Badala ya kujenga barabara/reli za kuiletea nchi biashara, kama kuiunganisha na Congo, Rwanda, Burundi na Uganda na kuimarisha bandari yetu, wanapanga miradi ambayo hata ikingoja madhara yake kwa uchumi ni madogo. Kenya wanajenga barabara kwenda South Sudan, sisi masoko ya nchi zote hizo hapo juu yanatutegemea lakini hatujitahidi kuwahudumia.

Hizi PhD za akina Magufulri za kupewa ndio matatizo yake.
 
ukiona hivi ujue wameshakula dili na mkandarasi mchina au kiwanda cha saruji..i have learnt not to trust the wadanganyika especially the wanasiasa.
 
Hili ni changa la macho,
pale mandela road almaaruf nmc kuna kiwanda cha mume wao(bakresa)oposite manji je watadhubutu kuwavunjia?yetu macho.
 
Kwanza hii serikali si sikivu kwa sababu wananchi tumeshalalamika mambo mengi sana lakini imekaa kimya, na haikuwekwa madarakani na wananchi walio wengi.

BTW..hizo hela zimetengwa mwaka huu na zitatengwa mwakani alafu mwaka wa uchaguzi ndio mtaanza kujenga which means hela za mwaka huu na mwakani za huo ujenzi zitapelekwa kwenye account zenu huko swiss, uk na sehemu mbali mbali..msitudanganye tumeshaamka siku hizi

Kwani wananchi wanachotaka ni nini? si kutekelezwa kwa ahadi au vp mkuu! Kwahiyo suala la ahadi kutekelezwa kipindi cha uchaguzi ni mipangilio tu mkuu wangu. Muwe na subra na uvumilivu wandugu.
 
Tume ya Katiba,
Usipende sifa kwa Dhaifu . Kabla ya kuongea flyover you need to have a complete design . Huwezi kuwa na fly over Tazara bila ya maana Kama haitapita mpaka Buguruni you also have to block the crossing at Machinjioni Temeke and also sove the crossing at Kilwa Road .

Huo upuuzi wa Magufuli na hao Tnaroads who can't think beyond their noses and the CEO hawawezi kuondoa foleni Dar. How do you design Rapid transport on a section of road not exceeding 15Km and dream that it's going to work? For a serious undertaking you need more smart thinking. CCM is a tired horse which has to be retired very soon.
 
Fly over tazara bila fly over ubungo haina maana yoyote ni mzaha tupu. Ni sawa na hiyo barar ya mendo kasi inaishia kimara badala ya mbezi. Wakati siku hizi foleni ya kufa mtu inaanzia kimara kwenda mbezi jioni

Jifunze ku appreciate mkuu, hii ni hatua moja. Tuipongeze serikali sikivu.
 
Back
Top Bottom