Flora Mbasha na sherehe za muungano

Post hii ni ya toka mwaka 2011 kumbe Frola kaanza mambo ya kijinga muda mrefu nimegundua kitu cha tofauti kwa kweli

Yap,hata mimi nilikuwa na doubt naye sikunyingi,kwenye sherehe nyingi za kiserikali or ccm huwa hakosi na ni yeye pekee kwenye Gospel sasa nikawa najiuliza why always yeye?Kitu gani special alichonacho kushinda wengine kinachofanya apate mialiko kwenye matukio makubwa tena pekeyake?Pia mara ashirikiane na waimba matusi wakina Temba eti wanaimba gospel lol
 
Ndiyo maana naipenda JF. N kioo cha jamii. Kumbe ilishaanza kummulika Flora tangu 2011?
 
Back
Top Bottom