Ugomvi wa dini unashida nyingi na hautakaa uishe hadi Yesu atakaporudi. Tatizo kubwa katika dini ni kuwa na kundi kubwa la watu wasiojua undani wa dini hizo na wanafuata mkumbo na mafundisho kidogo wanayopewa kulinda dini zao.Muislam aliyesoma pande zote mbili za imani yake anajua kuwa dini yao ni ya ibilisi ila anakuwa na mikataba mikali ambayo akiiasi anakufa mara moja hivyo anateseka huku akijua ukweli lakini ameshanasa mtegoni.
Kuchoma kitabu kunaweza kusiwasaidie waisilam kumjua Yesu kama ningepata namna ya kuongea na huyo mchungaji wa hilo kanisa ningemshauri atafute namna ya kuwaleta waisilam kwa Yesu ili awaokoe na Jehanamu ya moto badala ya kuchoma kitabu
Na mkristo anayejua kuwa Yesu sio mwana wa mungu anajua kabisa kuwa waislamu wanalolizungumza ni kweli ila tu mikataba aliyojifunga na kanisa inamzuia kuhama dini yake.
At least wewe umezungumza point ya kuwa na mdahalo au majadiliano na sio yule mwehu wa Florida anayechoma misahafu bila ya sababu.