Fla. church to host a 'Burn a Koran Day' on Sept. 11

Naomba nitofautiane na wewe. Nani alileta mambo ya kulawiti huku kwetu Afrika Mashariki? Si Waarabu! Historia inaonyesha kabisa mambo ya kulawiti kule Uganda ilianzishwa na Waarabu na hata hapa kwetu ni wazi tabia hii ipo katika maeneo ya Pwani zaidi na hilo halihitaji kubishana sana. Tofauti kati ya wazungu na waarabu ni kwamba wazungu wanafanya haya mambo wazi wazi wakati wenzetu wanaficha ndio maana watu wanafikiri ushoga ni wazungu tu!

Hili la kuchoma Quaran kwa watu wenye akili na kujiamini It is neither here no there. What is in the book anyway? Imani iko katika mioyo ya watu sio vitabu jamani!!

Ni kweli sikatai inawezekana waarabu wanayapenda hayo mambo but ukae ukijua sio wote waarabu ni waislamu na uislamu si uarabu kama mmungu anavyotanabaisha ndani ya quran kuwaambia waarabu wasifikiri kwakuwa mtume katoka kwa waarabu basi wao ni wateule kwani kwamwenyezi mungu mbora wao ni yule aliye mchamungu na mwenyekuamini. Hivyo basi ukae ukifahamu uarabu si uislamu ukitaka kufahamu uislamu kisome kitabu cha kiislamu utajua uislamu.

Kuhusu kuchoma kitabu kama ni kitabu tu kwanini basi wanakichoma wasichome wanaokisoma kitabu? Hapa linapigwa vita mkuu ni LACK OF RESPECT AND DIGNITY TOWARDS ISLAM. Nikuulize mie nikichukua biblia nikajisaidia juu yake utajisikiaje? au nikachana biblia nikachambia je?
 
Wasifanye huo ujinga wa kuchoma maandiko matakatifu, wanaweza kusababisha ughaidi ukaenea dunia nzima. Visasai huwa vinachochea tatizo zaidi badala ya kulimaliza!
Na magaidi wanaoenea wanakwenda mwisho wao. Uliza waliojaribu Uganda kama hawajakamatwa
 
Qur'an "a devil evil book".................it is of right decision to burn it as it has resulted to a number of terrorism in the world............burn those islamic papers and we will help you to burn them through our hearts........i believe that our god will later burn their allah.


Tatizo liliko kwa baadhi huko Tanzania nadhani ni ukosefu wa kuwa na elimu ya kutosha na kupotosha na baadhi ya Makanisa wakishilikisha Yesu na Mayahudi. Hii hii siasa ndiyo inayotumika kuwapotosha Wananchi wa Marekani kwa kuwapa Habari (Media) wanayotaka Mayahudi ambao ingawaje ni milioi sita tu lakini wanacontrol 95% ya magazeti na kuiamuru nchi ya Marekani ifanye nini. Hebu tuangalie ukweli:-

1.0 Wayahudi Hawamtambui Yesu. Tena wanamuona kama Mwana haramu. Waislam wanamtambua Issa (bi Maana Yesu) kama ni mmoja wa Mitume wa Mwenyezi Mungu. Pia hakuna Wayahudi wakiristo bali wapo baadhi ya waarabu wawe Wapelestina, Wamasri,Syria,Iraq,Lebanon wakiristo. Na Wayahudi wanafurahi wakiona hizi chuki zinaendelea. Kama walivyofanya katika enzi za Mtume huko Madina.

2.0 Mauwaji ya Mamilioni ya watu duniani kwa vita vingi vimetokana na hao hao Wakiristo wa Kizungu. Tena wameuwa Waislmam kwa mamilioni. Tangu wapate nguvu miaka mia 3 iliyopita ulimwengu wa Kiislam haukupata amani. Wamepandikiza chuki kila mahali. Je nani alipiga bomu la Atomic na kuteketeza miji huko Japan? Nani amewua Vietnam, Korea, Iraq na Palestina? Je ni wakiristo mia ngapi wa wakizungu waliofariki chini ya makosa ya baadhi ya Waislam? Je ni mamilion mangapi sio Waarab tu bali dunia nzima waliofariki kwa makosa ya Wakiristo? Nani terrorist wa kweli na nani aliaza KAMA siyo huko Marekani tangu karne ya 18 na mtoto wao ambaye aligeuka kuwa baba yao(Israel). Je ni haki gani duniani ya kufukuza wakazi walioishi miaka maelfu na kuwaleta wayahudi katika nichi zao?

3.0 Je nani aliuwa mamilioni 6 ya Wayahudi huko Ulaya? Kwa kuwaweka ndani ya Gas chambers. Sasa Waarabu dhambi yao nini? Tazama Shukran wanaoilipwa Waarabu na Mayahudi ambao Waarabu Waliwalinda kwa karne za Miaka. Je nani Waroma (Romans)? Ni wakiristo wa Kizungu au Waarabu?

Kwanza kabla ya kuwewesuka, hao watu wasioifahamu hata hiyo Biblia yenyewe kabla ya kukimbilia conclusion ya Koran- Kitabu kitakatifu cha Kiislam si bora kwanza wavisome vyote viwili? Ni mkiristo gani anayepandikiza chuki ambazo zinawesa kusababisha chuki na umwagaji wa damu wa watu wasio na hatia? . Amka usiambiwe kuimba ukaimba tu!!!
au ukaambia unakunya damu ya Yesu na wewe ukwanywa tu bila kutafakari!

Mimi nafikiri ni bora binadamu wote wa dini mbali mbali wakikaa wakapendana na kuwekeana heshima. Huu ndio utaratibu unaopendeza!

Pia bila kuweka haki na kuondoa uonevu na halafu kujaribu kuwatupia kosa wasiokuwa na hatia haitasaidia. Watu sio kondoo lazima watapigania haki zao!
 
Vita vyetu si katika mwili? huo ni upumbavu tu, kuchoma hakusaidii kitu, kesheni mkiomba
 
Tumepata kujua maoni ya waislamu na wakiristo.
Kwanini waichome quran kitabu cha waislamu wote na waliofanya kitendo cha ugaidi ni wachache?
Kwani yesu(nabii Issa) aliuliwa na nani?
Je IRA ni nani?
Je Roman empire mauaji ya historia iliyofanya haya julikani?
Je Hitler alikuwa nani ?
Je sisi tukivamiwa na nchi yetu jirani ika anza kutafuna ardhi zetu na kunyanyasa watu wake tutafanya nini?
 
yap. I think Islam is of the devil, hawajakosea kabisa. huo ndio ukweli wake. si ndo maana unaruhusu kufuga majini na kusilimisha majini? kwasababu majini ni ndugu zao. alichoanzisha obama kuruhusu waislam wajenge kituo cha kiislam pale ambap waislam wenzao waliwaua raia wema, ameanzisha bom ambalo litaisumbua sana na kuigawa america kuliko hivi tunavyoiona. itasababisha chuki dhidi ya waislam kuongezeka, waislam ambao ni only two million kati ya mamia ya wakristo wenye msimamo mkali. haiingii akilini kuona sehemu ambao waislam waliwaua raia wema inataka kujengwa kituo cha kiislam. and that will never be accepted nakwambieni.

Calm down mkuu, upo Jamii Forums, sio kwenye rugs za mitaani; Hii ni Nyumba of Great Thinkers and Rational being. Changia kwa kuleta maendeleo na sio kupandikiza chuki katika jamii.
Pastor Terry Jones (ambaye anataka kuchoma Quran) ni kama Taliban au Al Qaida; wote hawawakilishi aidha Wakristu au Waislamu waliopo duniani katika matendo yao ya kidhalimu.
 
Wazichome ili kuwakumbuka waliouawa kupitia hiyo Quran! Huyu "the Black Muslim in the White House" anakumbushia machungu ya watu kuuawa kwa ndugu zao kwa kujenga msikiti kwenye ground zero!

You sound like a truly PAGAN.
 
The action will but just give islam more credits,anachokifanya jamaa ni kuongezea watu curiosity about islam.
Mimi na expect more convertees,angejifunza from 9/11(which I believe is an inside job).

Ishakuwa ni impossible to stop islam from spreading across the globe,mafanikio hayo yanatokana na kujisalimisa kwa ALLAH kiimani na kivitendo by committed muslims + dhambi na kumomonyoka kwa maadili kwa jamii zinazopiga vita uislam.

Kwa hiyo sisi kumcha ALLAH vilivyo( ikiwa ni pamoja na kufanya yote aliyotuamrisha na kujiepusha na yote aliyotukataza) na wao kujikita katika udhalimu wa kutoa roho za innocent people,pedophilia,homosexuality,pornography,dhulma za mali,adultery,kutembea uchi n.k ndio sababu za msingi zinazoimarisha uislam.

Jamaa are morally sick,maadili yameporomoka to the exent that the American value(if u will) is at stake,waacheni mikono yao iendelee kueneza laana ya MwenyeziMungu.Something is eating them slowly but sure.

Eid Mubaarak
 
Even pastor’s old church condemns Quran-burning

By Liz Goodwin liz Goodwin – Wed Sep 8, 12:14 pm ET
AP100830159693.jpg
It's increasingly looking as though the only spiritual or political figure who will not denounce Florida pastor Terry Jones' plan to commemorate Sept. 11 by burning copies of the Quran is Jones himself. Wednesday brings the news that even the church Jones founded in Germany in the 1980s is condemning the upcoming Quran-burning at his small place of worship in Gainesville, Fla.
"We are surprised and shocked at the extreme radicalism being displayed [by Jones] right now on this issue," Stephan Baar of the Christian Community of Cologne told the Associated Press. The 60-member church kicked out Jones in 2008. Jones' estranged daughter says the eviction arose from her father's reported penchant for dipping into the church's till to pay his own expenses.
Jones' wish to burn hundreds of copies of the Islamic holy book has drawn a wide chorus of protests. Gen. David Petraeus said on Monday the action could hurt U.S. troops, while hundreds of Afghans protested in Kabul and burned Jones in effigy. The Gainesville Fire Department has denied Jones a permit for the event -- but the pastor says he plans to go ahead with it anyway.
Indeed, so many high-profile people have spoken out against the plan that they may now outnumber the fringe church's 50-member congregation, raising the question of whether the condemnations are magnifying the cause of a very small group of extremists.
Here's a partial list of people who have condemned the planned bonfire:


  • "It could endanger troops and it could endanger the overall effort," top commander in Afghanistan Gen. David Petraeus told the media. "It is precisely the kind of action the Taliban uses and could cause significant problems.

  • As "an act of patriotism," the media should not cover the burning, Secretary of State Hillary Clinton said. She also said, "It's regrettable that a pastor in Gainesville, Florida, with a church of no more than 50 people can make this outrageous and distressful, disgraceful plan, and get the world's attention":


  • The terrorist attacks of 9/11, says the Vatican, "cannot be counteracted by an outrageous and grave gesture against a book considered sacred by a religious community."

  • Attorney General Eric Holder called the plan "idiotic and dangerous."
  • Presumed presidential candidate Mitt Romney told Politico"Burning the Quran is wrong on every level. It puts troops in danger, and it violates a founding principle of our republic."
[Photos: Quran-burning debate]

  • "I do not think well of the idea of burning anybody's Koran, Bible, Book of Mormon or anything else," Mississippi Gov. Haley Barbour told reporters. "I don't think there is any excuse for it. I don't think it's a good idea."

  • "Any type of activity like that that puts our troops in harm's way would be a concern," White House spokesman Robert Gibbs said Tuesday.

  • "I appeal to people who are planning to burn the Quran to reconsider and drop their plans because they are inconsistent with American values and, as General Petraeus has warned, threatening to America's military," Connecticut Sen. Joe Lieberman said in a statement.
[Related: Who is Terry Jones?]




Source: Even pastor’s old church condemns Quran-burning | The Upshot Yahoo! News - Yahoo! News
 
The Dove World Outreach Center, a non-denominational church founded in Gainesville, Fla., in 1986, has outlined its plans on its website and Facebook page.

It says the burnings will be held on church grounds "in remembrance of the fallen victims of 9/11 and to stand against the evil of Islam. Islam is of the devil!" The church sells "Islam is of the Devil" T-shirts.


In response, The Council on American-Islamic Relations is calling on American Muslims to
host educational "Share the Koran" Ramadan fast-breaking dinners at which copies of Islam's holy text will be distributed to neighbors, public and law enforcement officials and journalists, the Orlando Sentinel
Religion News Service quotes Outreach Center senior Pastor Terry Jones as saying the Facebook response has
reports.prompted people to mail Korans to the church to burn.

Jones, according to the RNS, says organizers got the idea, in part, from another Facebook page campaign called "Everybody Draw Mohammed Day."

That was started in reaction to threats against cartoonists and artists drawing images of the prophet Mohammed, which is forbidden in Islam.

Another story below.
Muslims outraged as U.S. church plans to burn Koran

Florida's Dove World Outreach Center to burn the Islamic holy text on church grounds in remembrance of the victims of 9/11.

By The Associated Press Tags: Israel news US


The world's pre-eminent Sunni Muslim institution of learning has condemned a Florida church's plans to host a Koran-burning ceremony on September 11.
In a statement carried by local media on Thursday, Al-Azhar's Supreme Council in Egypt accused the church of stirring up hate and discrimination and called on other American churches to condemn the event.


The Dove World Outreach Center is planning to burn the Islamic holy text on church grounds in remembrance of the victims of 9/11. Organizers are using its website and social-networking sites like Facebook to promote the event.

The Gainesville church, which also campaigns against homosexuality, made headlines last year after distributing T-shirts that read Islam is of the Devil.

Clinton condemns Quran-burning plan - CNN.com
also I think a more prolific event would be to organize an event where we all hold up picket signs with EVERY verse from the Bible that would go against what they were doing. I can't believe they call themselves "Christians." Who are the terrorists, really?
they can't let Rev. Phelps & Co. win the gold medal for Worst Persons, now can they? Accdng to news reports I've seen, there are some local interfaith actions planned to counter them. only nyinyi wakrito wa bongo msiofikiri na kushabikia plz hebu fikiria kwa ubongo acheni ushabiki, And how about signs w/ all the Quran passages about Mary, Jesus, Joseph, etc.? You're almost burning your own book, idjits. btw
If you are foolish enough to buy books, which you don't like, you have the option of junking them or, better, yet, put them on Ebay. :mad2::mad2::mad2:
 
the action will but just give islam more credits,anachokifanya jamaa ni kuongezea watu curiosity about islam.
Mimi na expect more convertees,angejifunza from 9/11(which i believe is an inside job).

Ishakuwa ni impossible to stop islam from spreading across the globe,mafanikio hayo yanatokana na kujisalimisa kwa allah kiimani na kivitendo by committed muslims + dhambi na kumomonyoka kwa maadili kwa jamii zinazopiga vita uislam.

Kwa hiyo sisi kumcha allah vilivyo( ikiwa ni pamoja na kufanya yote aliyotuamrisha na kujiepusha na yote aliyotukataza) na wao kujikita katika udhalimu wa kutoa roho za innocent people,pedophilia,homosexuality,pornography,dhulma za mali,adultery,kutembea uchi n.k ndio sababu za msingi zinazoimarisha uislam.

Jamaa are morally sick,maadili yameporomoka to the exent that the american value(if u will) is at stake,waacheni mikono yao iendelee kueneza laana ya mwenyezimungu.something is eating them slowly but sure.

Eid mubaarak

kuwa muwazi kaka inamaana hiyo kitu hapo juu waislam hawaangalii? Au imeletwa na wakristo?. Cool dow kwanza umekurupuka kaka/ nina uhakika kama haupo marekani wewe ukipewa viza leo hii hautakataa ila ukipewa viza ya kwenda iraki utakataa au iran kwenye mataifa yenu utakataa.
 
kuwa muwazi kaka inamaana hiyo kitu hapo juu waislam hawaangalii? Au imeletwa na wakristo?. Cool dow kwanza umekurupuka kaka/ nina uhakika kama haupo marekani wewe ukipewa viza leo hii hautakataa ila ukipewa viza ya kwenda iraki utakataa au iran kwenye mataifa yenu utakataa.

Mkuu,
Sijakurupuka na honestly sitamani kwenda kuishi Marekani kutokana na mmomonyoko wa maadili ulioenea kila kona,ofcourse utandawazi umeifanya dunia yote kuathirika lakini extent ya USA ni mbaya zaidi,hadi kufikia kupiga campaign za ushoga katika high schools.
Iraq pia siwezi kwenda hususwan kwa kipindi hiki kutokana na hali ya usalama.

U know what?I'm not after material wealth,to me the worldly needs are but just for survival,the sole goal is to worship the Almighty God alone.I'm not entertaining anythng swaying me from from the sole purpose, of course ni rukhsa kujipatia world materials as much as u can kwa njia ya halali na pia kuitumia as instructed in the Quran.

Wapo waislam wanaoangalia pornoghraphy na kufanya uchafu mwingine,but islam prohibits them,waona nchi zinazojitahidi ku mantain maadili ya uislam zime ban hizo mambo.

Soma athari ya pornography hapa halafu ufanye relative study.
 
Uhuru wa ajabu wa kuabudu Marekani! Eti serikali huko haiwezi kuuzuia uwendawazimu kama wa kanisa hilo la Dove world, wakati viongozi wa serikali wazito na wananchi wengi wa huko wanalaani kitendo hicho cha kuchoma kurani. Can't they see they are inviting trouble?
 
Z'bar walichoma kanisa, wakristu walifanya nini? Kumwachia Mungu! Sasa na wao wamwichie Mungu wao! Inakuwaje kanisa lililoko US kuchoma Koran na waislamu wote kuwa na uadui na wamarekani wote pamoja na serikali yao? Kwa nini wasiwe na uadui na kanisa hilo au huyo kiongozi wao?
 
The Dove World Outreach Center, a non-denominational church founded in Gainesville, Fla., in 1986, has outlined its plans on its website and Facebook page.

It says the burnings will be held on church grounds "in remembrance of the fallen victims of 9/11 and to stand against the evil of Islam. Islam is of the devil!" The church sells "Islam is of the Devil" T-shirts.


In response, The Council on American-Islamic Relations is calling on American Muslims to
host educational "Share the Koran" Ramadan fast-breaking dinners at which copies of Islam's holy text will be distributed to neighbors, public and law enforcement officials and journalists, the Orlando Sentinel
Religion News Service quotes Outreach Center senior Pastor Terry Jones as saying the Facebook response has
reports.prompted people to mail Korans to the church to burn.

Jones, according to the RNS, says organizers got the idea, in part, from another Facebook page campaign called "Everybody Draw Mohammed Day."

That was started in reaction to threats against cartoonists and artists drawing images of the prophet Mohammed, which is forbidden in Islam.

Another story below.
Muslims outraged as U.S. church plans to burn Koran

Florida's Dove World Outreach Center to burn the Islamic holy text on church grounds in remembrance of the victims of 9/11.

By The Associated Press Tags: Israel news US


The world's pre-eminent Sunni Muslim institution of learning has condemned a Florida church's plans to host a Koran-burning ceremony on September 11.
In a statement carried by local media on Thursday, Al-Azhar's Supreme Council in Egypt accused the church of stirring up hate and discrimination and called on other American churches to condemn the event.


The Dove World Outreach Center is planning to burn the Islamic holy text on church grounds in remembrance of the victims of 9/11. Organizers are using its website and social-networking sites like Facebook to promote the event.

The Gainesville church, which also campaigns against homosexuality, made headlines last year after distributing T-shirts that read Islam is of the Devil.

Kwani karatasi zimeisha duniani? akichoma kitabu kimoja you just print millioni moja...the guy is a nut na nyinyi mnampa ujiko zaidi....just ignore him....nyinyi hapa mnatoleana mimacho....hivi vitabu vyooote vya korani huwa vinakaa daima? havichakai,kupotea,kuungua nk.....kama yeye mwanaume kweli akakichomee Mecca aone...to me he is just a nuttter
 
Kwani karatasi zimeisha duniani? akichoma kitabu kimoja you just print millioni moja...the guy is a nut na nyinyi mnampa ujiko zaidi....just ignore him....nyinyi hapa mnatoleana mimacho....hivi vitabu vyooote vya korani huwa vinakaa daima? havichakai,kupotea,kuungua nk.....kama yeye mwanaume kweli akakichomee Mecca aone...to me he is just a nuttter

kanisa lenyewe lina waumini 50! jamaa anataka attention TU
 
Naomba nitofautiane na wewe. Nani alileta mambo ya kulawiti huku kwetu Afrika Mashariki? Si Waarabu! Historia inaonyesha kabisa mambo ya kulawiti kule Uganda ilianzishwa na Waarabu na hata hapa kwetu ni wazi tabia hii ipo katika maeneo ya Pwani zaidi na hilo halihitaji kubishana sana. Tofauti kati ya wazungu na waarabu ni kwamba wazungu wanafanya haya mambo wazi wazi wakati wenzetu wanaficha ndio maana watu wanafikiri ushoga ni wazungu tu!

Wacha uzushi wewe unayejiita Byasel. Eti mambo ya kulawiti kule Uganda ilianzishwa na Waarabu. Hayo yanayoendelea ya kulawitiwa watoto katika makanisa Katoliki yamesababishwa na Waarabu? Na ni lini Waarabu waliingia kwenye makanisa huko Marekani?

Kitu ambacho kilikuwa kinafanyika ni kuficha hizo siri kwenye makanisa na kusingizia eti waaraabu ndio wameleta mchezo huo. Sasa yamebainika munaanza kusema eti wazungu wanafanya mambo wazi wazi, hao wazungu walianza majuzi tu kuwa wawazi lakini hapo kabla walikuwa wanaficha.

Na hata makanisani siri zimeanza kufichuka hivi karibuni baada ya baadhi ya watu kuwa na moyo na kuanza kusema ukweli. Na haya yalikuwa yanatendeka hata huku Afrika lakini mulikuwa munaficha kwa kuwaona mapadre kama miungu midogo huko vijijini.
 
Ugomvi wa dini unashida nyingi na hautakaa uishe hadi Yesu atakaporudi. Tatizo kubwa katika dini ni kuwa na kundi kubwa la watu wasiojua undani wa dini hizo na wanafuata mkumbo na mafundisho kidogo wanayopewa kulinda dini zao.Muislam aliyesoma pande zote mbili za imani yake anajua kuwa dini yao ni ya ibilisi ila anakuwa na mikataba mikali ambayo akiiasi anakufa mara moja hivyo anateseka huku akijua ukweli lakini ameshanasa mtegoni.

Kuchoma kitabu kunaweza kusiwasaidie waisilam kumjua Yesu kama ningepata namna ya kuongea na huyo mchungaji wa hilo kanisa ningemshauri atafute namna ya kuwaleta waisilam kwa Yesu ili awaokoe na Jehanamu ya moto badala ya kuchoma kitabu
 
Kazi ipo...japo si mwanadini.. siifagiliii hili la kuchoma vitabu vya ibada!!!!:mad2::mad2:
 
Back
Top Bottom