Fitina za Shigongo Hizi Hapa

Fuatilieni vizuri hii habari na wala Shigongo si wa kulaumiwa hiyo juu ni fabrication ya huyo Chamelion ni habari ya uzushi na anastahili kupigwa chini kwani ana dharau kwa watanzania.mi namsapoti sana Shigongo kwa kuliweka wazi suala hili alipoongea na waandishi wa habari.
 
hivi shigongo anamfananisha camelion na ngweir nini? camelion mutu ingine ati michael jacks ya uganda.
 
Shigongooooooo kisha GM wake anasema he can never apologize....last time I checked Shigongo was a born again!
 
huyu shigongo mpumbavu. inabidi watu wote aliowadhalilisha wamwombee albadili afilisike kabisa awe ombaomba. shenzy sana huyu mtu......Ptuuu!!
 
Fuatilieni vizuri hii habari na wala Shigongo si wa kulaumiwa hiyo juu ni fabrication ya huyo Chamelion ni habari ya uzushi na anastahili kupigwa chini kwani ana dharau kwa watanzania.mi namsapoti sana Shigongo kwa kuliweka wazi suala hili alipoongea na waandishi wa habari.

bt kidumu kasema hakumpa pesa chameleon,.!
 
Sasa huo ulokole wa Shigongo huko wap? Hivi yule mwanamke wa kihaya tena mke wa mtu pale nkrumah street anayemla from longtime ndiye kiongozi wake wa kiroho!?
 
Sasa huo ulokole wa Shigongo huko wap? Hivi yule mwanamke wa kihaya tena mke wa mtu pale nkrumah street anayemla from longtime ndiye kiongozi wake wa kiroho!?

Weka wazi kama yeye anavyoweka wazi mambo ya wenzake !
 
Erick ni mnafiki mkubwa,
wamemalizana ameomba msamaha,
kwanini hakukomaa kuomba msamaha kama yeye ni kidume.
 
Erick ni mnafiki mkubwa,
wamemalizana ameomba msamaha,
kwanini hakukomaa kuomba msamaha kama yeye ni kidume.

Na bado hakubali !
Yeye anawaandika Watanzania wenzake vibaya kila siku kwenye magazeti yake.
Akiandikwa yeye anasema watanzania hatuna umoja !!!
 
Ila Shigongo alionekana/dhihirisha mpuuzi sana,kashikilia passport haf chalii mwenyewe kaondoka nchini mpaka kwao,,niliona makala yake moja kwenye magazeti yake eti Jose alikimbia hotel na kuacha passport what a silly lie!
 
mkuu, sikitika kwanza kabla ya kumlaumu huyu bwana!

Mjasiliamali mzuri daima ni yule anayeweza kubaini gap kati ya kinachotakiwa na wanaokitaka na akitumia hiyo nafasi vizuri ananeemaka.

Shigongo alibaini ujinga wa ndugu zetu wengi kuwa wameathirika na mfumo mbovu wa elimu yetu na badala ya kutumia hiyo nafasi kuwasaidia akaamua kuitumia kwa kuwajaza ujinga zaidi. Na kinachotokea/kitakachotokea huko mbeleni ni ujinga kuongezeka kutokana na 'sumu' aliyotulisha.

Juzi Chameleon alipiga kambi ubalozi wa Tanzania nchini Uganda pale Kagera Road na hilo tukio lili-draw attention ya Waganda na uwezi jua ni wangapi wamejenga mtazamo hasi kuanzia hapo. Yote hayo sababu ya mtu mmoja kufanya mambo ya kipuuzi kwa makusudi mazima.

Ngoja tusubiri lakini historia inaweza kumkumbuka kwa kutumia 'ujinga' wa Watanzania kujitajirisha kama wanasiasa wengine badala ya kutoa mchango wa kuwaelimisha kwa kuwapa ufahamu

mimi binafsi nalisubiri gazeti ambalo siku moja litampiga picha za uchi Eric shigongo na mke wake wakiwa uchi halafu lizibandike picha zake ukurasa wa mbele. hakyanani hilo gazeti nitalinunua hata kwa elfu 30, kama nitakutwa nazo mfukoni. Huyu ni mpuuzi na mshenzi mno. halafu eti naye anaji-rank mjasiriamali. what a shame!!!!!! kupata riziki kwa biashara ya kishetani kama ya huyu bwana halafu unatembea na kujivuna hadharani, inatia huruma sana. ila kwa wanao mcha Mwenyezi Mungu, sio hawa watu wa shetani kama kina shigongo.
 
Hakika hata mimi huwa najiuliza Shigongo anapojiita mjasiriamali au kufundisha ujasiriamali huwa anamaana gani!
Ku blackmail watu nao ni ujasiriamali !?
 
Wadau,

Mimi ni mmoja wa watu tunaopinga mienendo ya Shigongo na magazeti yake lakini kwenye hii issue ya Jose Chameleon lazima tuwe wakweli.

Huyu mganda ana matatizo sana tusifumbwe macho na chuki dhidi ya Shigongo bali pia upande wa pili wa Chameleon.Jamaa amelalamikiwa hadi Kenya na inasemekana hata A.Y alimtahadharisha Shigongo tabia ya udanganyifu ya Chameleon.

Inashangaza msanii wa level kama yake kuwa na tabia za namna hii! Sishangai matukio ya kutaka kujiua kule Impala Arusha,kubadili dini alafu baada ya kususwa na mkewe na watoto akarudia dini yake!

Kwa mafanikio ya kisanaa aliyonayo Chameleon anataka nini tena mbona mtata sana?
 
Ni kweli,
Lakini Point ni kama mada inavyojielekeza.
 
na kwa taarifa yenu kuna hotel yake sinza ukienda na demu baada ya miezi sita utasikia kigogo akutwa na kimada
 
Back
Top Bottom