Fitina za ATCL? Precision Air yahamishia base yake KIA

Wewe ndio mstaarabu kuita watu wana "Mihemuko"?

You think there will be no retaliation?

Think again!

Unaamka asubuhi na kuanza kubatiza watu majina eti "mihemuko"

Thats what'chu get!

You touch mines,I get at'chu like a rockwilder!

Sikukuelewa umesema wewe....

Cha maana kama kweli wewe ni mstaarabu kama unavyojinasibu hapa,ungeelewesha sio unaanza kuita watu 'mihemuko' which is offensive!

Ningekua mjinga usingenijibu!

Na-make sense kwako ndio maana umenijibu!

Mengine unayosema ni nonsense tupu....

So,fvck what'chu think,whatever you think of my replies thats on you,I can't help you!
Shughulika na matatizo yako mkuu acha stress.

We endelea kupambana na life tu hakuna namna.

Kama hali yako imekua ngumu basi zamani ulikua mpiga dili
 
Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
Kilicho waua Fastjet ni Madeni, kuanzia walipokua wana kodi ndege ili waendeshe shughuli za usafirishaji Nchini, Madeni makubwa kwa watoa huduma wa ndani, Mfano walio kua wakitoa huduma za vipur, Mafuta,Chakula n.k .
Sasa ukisema Precision wanahama sababu ya hujuma ebu fafanua hujuma kama zip? Je! kuhamishia base yao uko wanapo ipeleka kuna fanyavip wasihujumiwe? Isije ikawa una andika vitu ambavyo havipo.
 
Miaka kadhaa nyuma wakati nafanya kazi moja ya mashirika haya tulifanya utafiti rasmi kabisa kujua ni watu wa aina gani hasa wanasafiri kwa ndege kila mara? Jibu tukapata kama ifuatavyo Wafanyakazi wa Serikali (na hasa wafanyakazi wa wizara ya afya, wizara ya Kilimo, misitu na nyenginezo za serikali 75%, wafanyabiashara wakubwa na wa size ya kati 20%, watu wa kawaida, misiba, wagonjwa na wasindikizaji, maharusi, wanafunzi 5%) Attempt yoyote inayofanywa ya kuwakataza wafanyakazi wasitumie mashirika mengine ya ndege zaidi ya ATCL ni msiba mkubwa kwa ashirika hayo. Najua zipo travel agencies posta ambao wanadili na wafanyakazi kwenye wizara husika na first choice always ni PW kwa maana ndio wanatoa commission kubwa, wakati mwengine kwa kupitia mlango wa nyuma. Nawashauri PW wafanye yafatayo haraka sana kabla ya maji hayajazidi unga
1 Wapunguze bei kwa safari zao na wahakikishe ndege haikai angani zaidi ya 3hrs kwa safari ya mbali zaidi
2. Haraka sana waondoe na wasiruhusu mawakala kuuza tiketi na badala yake iwe ni wao wenyewemoja kwa moja (direct booking)
3. Wasitoe kabisa huduma ya vyakula (labda korosho na maji/juice/yogat) kwa safari zao zote
4. Safari zote ziwe na daraja mbili tu (economy ama Business) kusiwe na class baina yake economy y class economy b class)
5. Waondoe upangaji wa viti (iwe anaekuja mwanzo ndio anaehudumiwa) first come first served
6. Kitu kizuri PW wapo na hanger yao sas waangalie uwezekano wa kupata spare kwa bei nzur na wapunguze cost za training
7. Waachane kabisa na kutumia neno hub na badala yake watumie neno point to point. Wanapofanya KIA kuwa hub yao ni sawa na kuhamisha Serikali toka dar kwenda Dodoma (gharama ya kuhama ni kubwa sana)
8.Wapunguze idadi ya wafanyakazi na wahakikishe waliopo wanafurahia kazi yao kwa kuwapa mishahara na incentives nzuri
 
Nimejibu comment yako mzee kama ilivyo..

Umesema ukiona mambo yako yanakua mabaya awamu hii eti ujue ulikua mpiga dili..

Such a nonsensical way of thinking..

Mpaka uchumi wote uanguke ndio mtaamini ahaa kumbe hii sababu eti walikua wapiga dili ilikua ni wrong assumption..

Endeleeni kujidanganya tu....

Biashara zinakufa kweli,seriously!

Halafu mwenye mihemuko ni mama yako mzazi...mbuzi mee wewe!
Mkuu unamu-attack mdau bure tu, hivi wewe kama Great Thinker umeshindwa kuzisoma comment za wadau wenye mlengo wa 7000/- na ambao wanawasanifu hao buku7.

Mimi huenda nikawa sio G.T ila mkuu natoka hapa nimemsoma mapema tu kuwa kawasanifu buku7 ndomana kaweka emoji ya kucheka.
 
Shughulika na matatizo yako mkuu acha stress.
Kila mtu ana matatizo,wewe pia unayo sasa sijui unaji-exclude kivipi?

Naona umekua medical doctor unaweza clinically diagnose watu online na ku-prescribe them,eti wana stress!

You are so talented mzee!

Hebu tuwekee cheti chako hapa tuone Mr Doctor!
We endelea kupambana na life tu hakuna namna.
Maana nyie mnakula raha?

Buaaahaaaaa
Kama hali yako imekua ngumu basi zamani ulikua mpiga dili
emoji23.png
emoji23.png
Ndio maana nakwambia hii assumption unayotumia ni ya kipumbavu sana!

Baada ya kutafuta real cause cha chanzo cha matatizo ya biashara nchini,mnaishia kusema 'walikua wapiga dili'

Yaani kirahisi rahisi hivyo!

Mna kazi kubwa sana kuendesha hii nchi,na mnafeli sana....Its shame!
 
Kila mtu ana matatizo,wewe pia unayo sasa sijui unaji-exclude kivipi?

Naona umekua medical doctor unaweza clinically diagnose watu online na ku-prescribe them,eti wana stress!

You are so talented mzee!

Hebu tuwekee cheti chako hapa tuone Mr Doctor!

Maana nyie mnakula raha?

Buaaahaaaaa

Ndio maana nakwambia hii assumption unayotumia ni ya kipumbavu sana!

Baada ya kutafuta real cause cha chanzo cha matatizo ya biashara nchini,mnaishia kusema 'walikua wapiga dili'

Yaani kirahisi rahisi hivyo!

Mna kazi kubwa sana kuendesha hii nchi,na mnafeli sana....Its shame!
Assumptions hata wewe unazo ndio maana unani-group kwenye kundi la watawala ilihali hunijui.

Tuachane na malumbano mkuu, tafsiri ya hali ngumu kila mtu ana tafsiri yake, watawala wana tafsiri zao na mimi mlala hoi nina tafsiri yangu.

Mwisho wa siku sitaki kulaumu Magufuli maana hata kabla hajaingia madarakani mi sikua na hela na mpaka leo sina hela.
 
Mkuu unamu-attack mdau bure tu, hivi wewe kama Great Thinker umeshindwa kuzisoma comment za wadau wenye mlengo wa 7000/- na ambao wanawasanifu hao buku7.

Mimi huenda nikawa sio G.T ila mkuu natoka hapa nimemsoma mapema tu kuwa kawasanifu buku7 ndomana kaweka emoji ya kucheka.
Mkuu

Kuna wengine sisi tupo so against Jiwe such that hata utani au sarcasms hatuzioni....

Kuona au kutoona utani ni mambo ya kawaida...hakuna wa kumlaumu!
 
Assumptions hata wewe unazo ndio maana unani-group kwenye kundi la watawala ilihali hunijui.
Mkuu

Ukiweka sarcasm kwenye andiko lako,watu wanaweza waone au wasione...

Na usiwalaumu kama hawakuona..

Ni jukumu lako kumuelekeza bwana pale ilikua sacarsm ili aweze kujua ulimaanisha nini hasa

Wewe badala yake umekimbilia kuniita 'mihemuko' which I took it exceptionally offensive.

Wewe kuniambia nirudi kusoma comment yako again ni belittling and condescending

Wewe ungesema nilikua nasema utani pale basi mtu anaelewa!

Wewe mtoa andiko ni kujukumu lako la msingi kuelewesha wasomaji wako na wala eti sio jukumu la wasomaji kukuelewa wewe!

Maana wewe mtoa mada ndio unataka watu wakuelewe hivyo ni jukumu lako la msingi kuelewesha!

Usingekua unataka kueleweka usinge even andika to begin with!

Peace!
 
Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.

What goes around comes around. Tusisahau kwamba ni hao hao Precision ndiyo waliochangia kuua ATCL mpaka wakafikia hatua ya kujimilikisha karakana za ATCL hapo Mwalimu Nyerere International Airport. Mkuki kwa nguruwe................................
 
Usitumie kabila la watu kutukania siyo ustaarabu. Kwanza Tanzania kuwa mhutu, mtwa, mtusi, mutwale, mgogo, mhaya, mchaga, msafwa, nk; Haionyeshi kwamba wewe ni bora au siyo bora! Tumia maneno mengine. Sisi we have overgrown those kind of issues. Pia baada ya uchaguzi 2020 tutaacha kutumia vyama kama tusi-kwa mfano, kuwaita watu Machadema, maCCM, nyumbu etc. Tutakuwa tumekomaa.
broo !!
he is HUTU
black SADIST
mtekaji
watanzania wanatekwa haongei !
he is enjoying !!
 
wana bei mbaya sana precision ukilinganisha na air tanzania bado ndege zao ndogo zimechakaa lakini bei ni mbaya sana utafikiri wapo wao tu tanzania
 
Back
Top Bottom