Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba.

Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi.

Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza kisaikolojia, wametupangia hivyo makusudi Ili tutoke , wametuona sisi ni dhaifu, nasema sisi watanzania sio dhaifu , lazma tukabiliane na mishale yote dhidi yetu.

Sasa kwenye Madam Kuu, Hawa jamaa wa CAF Huwa tayari washapanga nani akutane na nani, pale utaona mipira yote katika vyungu tengwa inafanana Kila kitu ukiangalia Kwa macho lakini sio kweli mipira haifanani, nikujulishe kumekuwa na uvujaji wa taarifa juu ya kinachofanyika kwenye draw za michuano mkubwa kama hii.

Sasa unaweza ukaona Kwa mbali ama kwa karibu mipira minne ya chungu kimoja inafanana kwa Kila kitu yaani rangi na size, ila kiukweli hilo halipo na ndomaana nasema draw inapangwa nje, pale unaweza kuona mipira imefanana rangi lakini anaebeba mpira anajua kabisa nabeba timu gani kwasababu wahuni wale huwa katika mipira iliyofanana ndani yake utakuta kuna mpira wa moto yaani unajoto labda huyu yanga, kuna mpira wa baridi huyu labda simba, kuna mpira mzito kuliko mingine huu utajua ni mamelod, na kuna mpira kama una upele huyu ni asec.

Hivyo kuzani kwamba draw inachezeshwa fair ninkujidanganya, all in all mpira utabaki kuwa na maajabu yake , watu wanaweza wakafanya Kila kitu ila mpira ukaja na matokeo yake ya kipekee
Wabongo tunalalamika kama watoto wa Kambo.

Mlitaka tupangwe na timu gani sasa?
 
Ulikuwa unataka kusema nini? Kwamba Simba/Yanga wameonewa? Kama ndivyo ulitaka wapangiwe na timu gani wakati mnajiita wababe?
 
Behind the Curtain kuna tokeaga mambo mengi inawezekana kuna uhuni unafanyika ili kuwapa favor team fulani wenye maslahi nazo directly or indirectly..

Ili kwa upande mwingine Mamelodi na Al ahly sio timu za mfukoni wana address wana viwanja quality players kiujumla ni professional compared na timu zetu za Asante GSM na Mudi.
 
Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba.

Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi.

Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza kisaikolojia, wametupangia hivyo makusudi Ili tutoke , wametuona sisi ni dhaifu, nasema sisi watanzania sio dhaifu , lazma tukabiliane na mishale yote dhidi yetu.

Sasa kwenye Madam Kuu, Hawa jamaa wa CAF Huwa tayari washapanga nani akutane na nani, pale utaona mipira yote katika vyungu tengwa inafanana Kila kitu ukiangalia Kwa macho lakini sio kweli mipira haifanani, nikujulishe kumekuwa na uvujaji wa taarifa juu ya kinachofanyika kwenye draw za michuano mkubwa kama hii.

Sasa unaweza ukaona Kwa mbali ama kwa karibu mipira minne ya chungu kimoja inafanana kwa Kila kitu yaani rangi na size, ila kiukweli hilo halipo na ndomaana nasema draw inapangwa nje, pale unaweza kuona mipira imefanana rangi lakini anaebeba mpira anajua kabisa nabeba timu gani kwasababu wahuni wale huwa katika mipira iliyofanana ndani yake utakuta kuna mpira wa moto yaani unajoto labda huyu yanga, kuna mpira wa baridi huyu labda simba, kuna mpira mzito kuliko mingine huu utajua ni mamelod, na kuna mpira kama una upele huyu ni asec.

Hivyo kuzani kwamba draw inachezeshwa fair ninkujidanganya, all in all mpira utabaki kuwa na maajabu yake , watu wanaweza wakafanya Kila kitu ila mpira ukaja na matokeo yake ya kipekee
Njia nzuri ya kupunguza malalamiko kama haya ni kutolewa mapema tena ikiwezekana group stage.

Vinginevyo ukishafika hatua hii unatakiwa ujikaze haswa, ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa na sio mapinduzi cup
 
Kwa nini tunafadhaika mioyoni mwetu? Tuziamini timu zenu tujiamini na sisi mashabiki. Timu zetu ni bora sana kama isingelikuwa hivyo zisingefuzu robo fainali
 
Ukitizama kiundani ni kama vile vitufe vina alama za nundu au upele ambao unamjulisha uzugaji kujidai anachagua kumbe walishapamba hayo mapema

Nilibaini hilo bada ya kuona ni kama anapapasa flani yale matufe
hakuna chochote kibaya ni mpira huo
 
Tatizo vyura mlijiaminisha mtakutana na Asec muende nusu fainali, sijui hiyo draw yenu ya kukutana na Asec mlipanga na nani hapo viwanja vya matopeni jangwani...
Yaani kila kona walikua wanaandika kua wao ni Asec au Petro de Luanda
 
Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba.

Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi.

Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza kisaikolojia, wametupangia hivyo makusudi Ili tutoke , wametuona sisi ni dhaifu, nasema sisi watanzania sio dhaifu , lazma tukabiliane na mishale yote dhidi yetu.

Sasa kwenye Madam Kuu, Hawa jamaa wa CAF Huwa tayari washapanga nani akutane na nani, pale utaona mipira yote katika vyungu tengwa inafanana Kila kitu ukiangalia Kwa macho lakini sio kweli mipira haifanani, nikujulishe kumekuwa na uvujaji wa taarifa juu ya kinachofanyika kwenye draw za michuano mkubwa kama hii.

Sasa unaweza ukaona Kwa mbali ama kwa karibu mipira minne ya chungu kimoja inafanana kwa Kila kitu yaani rangi na size, ila kiukweli hilo halipo na ndomaana nasema draw inapangwa nje, pale unaweza kuona mipira imefanana rangi lakini anaebeba mpira anajua kabisa nabeba timu gani kwasababu wahuni wale huwa katika mipira iliyofanana ndani yake utakuta kuna mpira wa moto yaani unajoto labda huyu yanga, kuna mpira wa baridi huyu labda simba, kuna mpira mzito kuliko mingine huu utajua ni mamelod, na kuna mpira kama una upele huyu ni asec.

Hivyo kuzani kwamba draw inachezeshwa fair ninkujidanganya, all in all mpira utabaki kuwa na maajabu yake , watu wanaweza wakafanya Kila kitu ila mpira ukaja na matokeo yake ya kipekee
Kwani kuna timu imepangiwa kucheza na Bayern?
 
This is stupidity of the highest order. Timu ziko nane. Possibility ya kupangwa na timu nyingine iliyoishia nafadi ya pili haipo kutokana na draw procedure. Halafu katika timu nne zilizobaki huwezi kupangwa na timu uliyokuwa nayo group moja. Kwa hiyo unabaki na timu tatu unazoweza kupangwa against. Utasemaje imepangwa kabla? Kwa nini watu mnaojidanya ligi yenu ni kati ya ligi bora Africa mnalalamika kama watoto wadogo? Mountains are there to climbed. Kwa nini mnagwaya wakati ninyi ni wazoefu wa ligi ya mabingwa Africa?

Wanaolalamika sana kwenye hii forum ni mashabiki wa Simba badala ya kuthinitisha ubora wenu.
Msimu uliopita kila kabla ya mechi ya Yanga kulikuwa na threads nyingi zikitabiri mwisho wa Yanga kila hatua lakini it was proved wrong. Na msimu huu upuuzi ule ule unaendelea kwamba hawatoboi makundi. Sasa aneingia robo bado watu wanaendelea na upuuzi wao. Grow up!
Nilipost nahali kabla ya mechi za makundi kuisha kwamba bingwa wa mwaka huu CL atatoka group D na ndivyo itakavyokuwa.
Nawapa heko mashabiki wa Yanga hawana upuuzu huu wanajua katika mechi ya football kuna matokeo matatu. Lakini vile vile wanauaminintimu yao. Jwsongakuna tomu ndigo wala kubwa. Always be positive you will live long. Punuzeni stress and enjoybthe beautiful game

No
Hapo uliposema wanaolalamika ni mashabiki wa Simba kwenye hii draw ya leo au?
 
Leo asubuhi mapema tu nimekuta micky jnr amepost kaandika draw test halafu kaweka draw hii hii iliyopangwa na CAF. yaani niliona kama anatabiri tu ile asubuhi ila kuona kila kitu kimefanana kwakweli nikaingiwa na mashaka. Nikaingia kwenye post zake baada ya kutoka kwa draw nikaona kafuta ile post. Kwa waliona post ya Micky Jnr watakuwa mashahidi kwa hiki nachosema
Acha uongo wew gem moja tu ndo alitabili na imeenda sawa ta yanga
 
Leo asubuhi mapema tu nimekuta micky jnr amepost kaandika draw test halafu kaweka draw hii hii iliyopangwa na CAF. yaani niliona kama anatabiri tu ile asubuhi ila kuona kila kitu kimefanana kwakweli nikaingiwa na mashaka. Nikaingia kwenye post zake baada ya kutoka kwa draw nikaona kafuta ile post. Kwa waliona post ya Micky Jnr watakuwa mashahidi kwa hiki nachosema
Kabisa mkuu...nami nmeiona Iko vile vile....nmesahau kui copy tu...mtoa mada ni kama yuko genuine kwa kias flan
 
Back
Top Bottom