First year 2012/2013 prayer to heslb

Moyibi

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,054
710
Baba Yetu HESLB ulie Msasani Jina lako litukuzwe, ufisadi wako usije utupe leo Mikopo Yetu, utusamehe ubishi wetu wa kujaza kozi za Non-priority kama Raisi Wetu dhaifuu alivyowasamehe Mafisadi Wa EPA & BOT usitutie katika Migomo lakini utuokoe na Ukame wa Pesa Aaameeen....
 
Baba Yetu HESLB ulie Msasani Jina lako litukuzwe, ufisadi wako usije utupe leo Mikopo Yetu, utasamehe ubishi wetu wa kujaza kozi za Non-priority kama Raisi Wetu dhaifuu alivyowasamehe Mafisadi Wa EPA & BOT usitutie katika Migomo lakini utuokoe na Ukame wa Pesa Aaameeen....

mwana umetisha. . .hahahahahaha duh umenichekesha mr bvm.
 
mwana umetisha. . .hahahahahaha duh umenichekesha mr bvm.

Mkuu haya Mambo hayatabiriki unaweza kuta mtoto wa kigogo kajaza kitu cha non-priority na ana dvn 3 ya point 17 mwisho wa siku analamba 100% na watoto wa wakulima wamegonga dvn 1 zao kali na wamesoma shule za kata afu wamejazaa kozi zenye priority kama bsc in eductn, MD, Pharmacy na BVM mwisho wa siku analamba 0% au wakati mwingne kitu cha Nil !!
 
Tukeshe tukiomba maana hatujui siku wala saa ambayo HESLB watatunyongea baharini na damu kwenda na maji,
 
Tukeshe tukiomba maana hatujui siku wala saa ambayo HESLB watatunyongea baharini na damu kwenda na maji,

ndo ivyo mkuu !! Yaani hapa nilipo naomba nipate hata ka 60% chn Ya hapo na suspend huu mwaka siendi chuo
 
ndo ivyo mkuu !! Yaani hapa nilipo naomba nipate hata ka 60% chn Ya hapo na suspend huu mwaka siendi chuo

Teh teh teh!! kitu mean testing kina nipa homa, Ila jamaa wamechelewesha mzigo aiseee mid September baadhi ya vyuo wanafungua na mpaka sasa watu hawajui wamelamba % ngapi
 
Teh teh teh!! kitu mean testing kina nipa homa, Ila jamaa wamechelewesha mzigo aiseee mid September baadhi ya vyuo wanafungua na mpaka sasa watu hawajui wamelamba % ngapi

umeonaaah !! EEeh itakuwa pouwa xana kama wakiaachia kitu mwanzon mwa septmbr ili kujua ka tunaenda chuo au laaaah
 
ZE DUDUZ nakutabiria utapata aslimia zaidi ya 80 sasa basi ukipata vocha inihusu usipotimiza ahadi hii uta DISCO
 
Back
Top Bottom